Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 66,997
- 173,636
Hahahah kidude!Imagine kiatu kinaburst at 260KPH afu chuma bado imeatamia lami fresh tu.
Mzungu anatoa gari.
Mjepu anatoa chombo cha usafiri.
-Kaveli-
Hahahah kidude!Imagine kiatu kinaburst at 260KPH afu chuma bado imeatamia lami fresh tu.
Mzungu anatoa gari.
Mjepu anatoa chombo cha usafiri.
-Kaveli-
Inafika vizuri sana, amka mapema alfajiriDar mpaka Musoma kwa IST itafika kweli?
Safiri salama....usisahau picha za green viewsFull loaded kuitafuta Arusha, mda siyo mrefuView attachment 1814017
Hahaaa kivipi na wewe ndiyo mambo yako nini hayoHahahah unatufaa wewe 😅😅😅
All the best.Road trip zangu panapo majaliwa kuanzia mwakani nikipata Pick up "Bakkie" iwe Nissan Hardbody au Toyota Hilux Single Cabin kwa mwezi itanilazimu kutembea +4000km. Dar-Mwanza-Musoma-Bukoba-Kampala-Kisumu-Kigoma-Rukwa-Mbeya-Songea Nyasa-Lindi-Mtwara-Pwani-Tanga-Dar.
Katika kupambana na fursa hapa Tanzania itanilazimu niwe napita kwenye maziwa na bahari, gari siti mbili za mbele zinatosha vingine anasa.
Tutawanyike kwenye uso wa dunia tukatafute riziki.
Hizi ndo gari za kununuaGari haikucheza hata kidogo wala kuyumba zaidi ya ile kujua kimenuka kwenye tire na ipo na upya wake
Kiongozi ile jesta ya pale mlimani city siku hizi siioni au umeshichukuaNikajua umehamia kwenye IST ungezingua sana! Ila kwa MAJESTA ni Nuff Respect! Umeme huo naukubali sana comfortability na mwendo at the same time
Shukrani mkuu kwa angalizo. Nimepona sehemu mbili j3 hii njia ya tegeta na kabla tu ya kuingia kibambaThanks Dualis Driver, you save me from the 50km/hr traffic camera 🎥.
View attachment 1810176
Yaani alikuwa mbele yangu anaenda mwendo mdogo nikasema huyu anatongoza demu aamaaa..! Wakati barabara ilikuwa nyeupe inaita.
Kushoto nako kuna daladala ndo kwanza inadema.... nikawa mpole, usawa wa geti la COTEX nikaona yangeyange na camera yao daaah...!!
Nikajukuta nalibusu Dualis by far, ila sasa baada ya kuwapita askari alitumua mbiooo hadi nikashindwa soma plate number zake....😊.
Hizi tochi Daslam tulishazisahau naona zimerudi.... Mungu anisaidie nilegeze kisigizo maana elf 30 kuipa sirikali inaumaa 🤨.
Kasie Matata.
Mkuu shukrani kwa muongoza, nimefika salama....kuna ming'oko mingi sana huko mjomba..
Pia napenda Masasi yale mawe makubwa...
Kule mtwara kuna beach nzuri mfano Mikindani na Shangani...
Lakini pia kuna watoto wa Kimakonde, Kiyao na Kimakua....
Kutongoza hawa ni simple sana...mwambie tu unamleta mjini....atajibu .."Baa! Namie naenda njini..?" Hapo tayari umeshajiopolea......
Cate hotel Moro?!Raha ya trip mida kama hii unapata gahawa
View attachment 1814445
Chombo nimeiona! Ina my favourite feature SUNROOF 🔥🔥🔥🔥. Hio ufungue halafu umepiga shades kaliii duh unanikumbusha enzi za ujana!Raha ya trip mida kama hii unapata gahawa
View attachment 1814445
Duh!Chombo nimeiona! Ina my favourite feature SUNROOF . Hio ufungue halafu umepiga shades kaliii duh unanikumbusha enzi za ujana!
Raha ya trip mida kama hii unapata gahawa
View attachment 1814445
Baada ya kusoma ndo nami nikaizoom......ila sijang'amua ni sedan au SUV?.... Chombo imetulia na rangi yake sio ya nyumbaChombo nimeiona! Ina my favourite feature SUNROOF 🔥🔥🔥🔥. Hio ufungue halafu umepiga shades kaliii duh unanikumbusha enzi za ujana!