Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Kuna gari ukisha kaa, then uka shift kwenye hizi gari zetu, unahisi kama umeingia dunia ingine .. RR ukiwa nayo hauwi mtu wa meneno maana uwezo wake sio wa kulinganisha na hizi zingine .. na hata route nilifanya iwe ndefu, nilianza kariua - tabora - Dodoma - Morogoro - Iringa - then nikarudi Mahenge - Alafu Dar es Salaam
Ukirudi kwenye gari zetu unaona kama umekalia kigoda
 
Naingia barabarani wakuu, mkeka wa Iringa - Mbeya.
20210514_125315.jpg
 
Back
Top Bottom