Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Naomba niwe driver wako bas, niwe nakutembeza
Hahaha mimi nikisafiri napendelea kutumia usafiri wa public sipendelei sana usafiri private! Cause huwa napenda nikisafiri nisipige story na mtu nikae tu peke yangu nasikiliza miziki kitu ambacho kwenye usafiri private hauwezi utaonekana miyeyusho na kama ni private basi niwe peke yangu niendeshe mwenyewe!
 
4040D909-1983-4F76-8291-A6F1485ADD2B.jpeg

Early in the morning....

E2A2680E-5FAE-4A89-BC65-B47D89936795.jpeg

I receive a msg....

909214CE-5544-4997-9668-FE8F049E1748.jpeg

That he has landed /arrived.....

Shaaaap 🚗 asijeibiwa...😜
 
Mt. Meru.

Halafu hii double road nina mkosi nayo kila mara.

Huwa najiachia kama Lewis Hamilton.

Mbele unapigwa mkono, ushapigwa tochi.

Na polisi wa huku hawataki 10k za kubrashi viatu.View attachment 1755529View attachment 1755537

Duh, hao yange yange wa huko mbona wakuda sana, Unakataaje 10k?

Kwaiyo wakikupiga mkono wanakuandikia kabisa?

Pengine mzee mwonekano wako unawaogopesha, wanadhani pengine ni afisa kipenyo
 
Duh, hao yange yange wa huko mbona wakuda sana, Unakataaje 10k?

Kwaiyo wakikupiga mkono wanakuandikia kabisa?

Pengine mzee mwonekano wako unawaogopesha, wanadhani pengine ni afisa kipenyo
Mara kwa mara wakinikamata nikiwashikisha 10k wanarusha mikono kukataa.

Nawaacha waandike.

Kuweka 50kph kwa ile barabara sio poa.

Wanatunyima uhondo.
 
Duh, hao yange yange wa huko mbona wakuda sana, Unakataaje 10k?
Kwaiyo wakikupiga mkono wanakuandikia kabisa?
Pengine mzee mwonekano wako unawaogopesha, wanadhani pengine ni afisa kipenyo
1618772551921.png

picha ya @Boing 747
mimi hilo eneo pia nina mkosi nalo, kuna jamaa wanajificha kituo cha Chama pembeni ya geti la Mtei Ogaden Estate hawataki 10 kabisa, nimetermka toka Tengeru ndio naianza double road wakanizoom 65km.h nikabembeleza mpaka 15 nikaona nipokee tu cheti 30,000
basi safari nzima mpaka Dodoma nikawa mnyonge nisijepokea cheti kingine
 
View attachment 1755913

Kwa ujumla uzuri wa hii barabara kuweka speed limit 50 ni kuonena tu..

Pale Sangsi inapoanzia na kuishia Sakina ni almost KM 14+,
Km zote hizo ni 50kph..
 
Back
Top Bottom