Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Yeah hata mia 5 kwao ni nauli tosha.

Ila mie sitatoa, si unajua hela ya mwanamke ilivyo chungu kutoka

Ila huwa nawapigisha story ile ya kumtoa mawazo kama yuko kazini, asiwaze amesimama siku nzima labda kapata short au mwenzie anayetakiwa kumpokea shift kachelewa n.k.

Moja ya story naanzaga nazo ni, naweza kuwekewa mafuta ya buku huku nikionesha taswira ya wasiwasi na kushangaa...!

Wengi hucheka kisha nataja idadi ya lita nnazotaka basi maisha yanaenda.

Mmoja wakati anajaza nikamwambia, shoga hivi kama nimesahau pesa kwenye pochi nyumbani nilitoka haraka nanishaniwekea mafuta inakuwaje....

Basi akimaliza kunijibu hapo namwambia asante kwa huduma namtakia shift njema, akirudi nyumbani awakumbatie watu wake wa karibu kwa upendo. Namuacha na tabasamu halafu mie yuleee naendelea na safari yangu .
Hii ni njema, yawafanya wajione nao ni wenye kujaliwa na wenye maisha nje ya kuwa 'pump attendants'

Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
 
It is also one of those less visited beaches kama huko Kilwa tu. Lakini ni kati ya fukwe nzuri sana mbele bahari halafu nyuma kijani kibichi kimetawala.

Ila nafikiri ndiyo kama hivyo alivyosema mkuu hapo juu kuwa kama taifa kwenye eneo hilo hatujafanikiwa sana. Nadhani hatujajitangaza ile vya kutosha.

Au pengine labda watu wanapenda zile beaches ambazo ziko mjini zilizochangamka kama Dar au Tanga. Mbele bahari halafu nyuma mji mkubwa na makazi ya watu.

Lakini sehemu kama Bagamoyo, Mtwara, Pangani na Lindi kuna fukwe nzuri sana. Hiyo Msimbati unaweza hata kugoogle uone mandhari yake.
Hata Zenji wenyewe, beach za Jambiani, Nungwi, Paje, Michamvi n.k ni mbali na mji wala si town lakini Hotels zipo na kunahappen. Kama Zenji haswa Nungwi wana monthly events za full moon party na nyingine zifananazo na hizo na watu wanafunga safari kutoka kote duniani kwenda kuhave fun, lwa nini isiwe upande huu wa nchi pia. Yaweza kuwa sera za uwekezaji ni kikwazo, lakini utalii wa fukwe ni kitu ambacho kingetubeba sana. Mauritius, Sychelles na Re-Union nafikiri wanabebwa zaidi na fukwe kiuchumi kuliko vinginevyo, yatupasa kufanya jambo

Yeah kule visiwani wako serious sana na fukwe zao sijui tu kwanini huku bara fukwe za mijini tu ndiyo zimeendelea zaidi. Uzuri wengine hatuchaguagi fukwe ili mradi kuna bahari au ziwa na hotel au lodge karibu basi fresh tu.
 
3A2EA7B9-A5FA-4C1D-9980-F6C656413CF1.jpeg

Kukicha tuu, Kigulu na njia .....😜
 
Barabarani kuna ujinga mwingi sana. Halafu aliesababisha yote hayo kaendelea na safari wala hajali nini kimewatokea.
Kuna mtu anakufanyia kitu barabarani unatamani umpige pini asimame ushuke um face.

Huwa natulia kwa muda mpaka adrenalie iishe then nasepa zangu. Road rage sio ishu kivile mradi nimevuka salama, not worth it.

Najisemeaga siku nikimchomekea mtu au kumfanyia kimbwanga I hope karma itamfanya naye anikaushie.
 
Inahitaji uvumilivu sana barabarani.
 
Back
Top Bottom