mtongwe
JF-Expert Member
- Dec 16, 2016
- 1,572
- 4,257
Ahirisha tuu kaka.......Ila hongera ,unakimbia nyingi sana,mi kwa miaka hii nikataka kukimbia hizo inabidi niwe na nauli mfukoniDuh imenibidi niahirishe,lengo langu lilikuwa kushiriki 21km ila moja ya tahadhari ni kuepuka misongomano.