Wala nisiwe muongo,ni ngumu sana kwangu kuendesha gari chini ya 140kph, labda kwenye limit nafuata ili limit ikiisha Mungu anilinde tu.Binafsi niseme tu kifupi-Speed ni hatari sana kwetu sisi sote.Ajali zinaongoza kwa kutumaliza sisi vijana kila kukisha bila sababu za msingi.Binafsi naamini kama advisable speed sehemu nyingi duniani ni kati ya 80-100kph,basi ni matokeo ya tafiti mbalimbali juu ya usalama wa driving na ikapendekezwa hvyo.Bora tuchezee hapa kuwalinda na wengineo.
Kuna magari mengi sana pembezoni mwa barabara yaliyopata ajali sehemu mbalimbali.Kivipi?
Dahhh,ukiona bahasha la kaki tu unawaza bill au fine mzee Baba.Nikionaga picha zako kule selfika nakumbuka enzi zangu napuyanga kwenye Motoways! Nilikula ban miezi 6 nilipita kwenye construction zone yenye limit 50mph. Mimi nilipita na 100mph(makosa mawili hapa kwasababu speed limit ni 70mph). Ilikuwa north huko sikumbuki ni M ngapi ila ilikuwa natoka M6 Birminngham on my way to catch M56 naelekea Manchester. Nilikutana na bahasha ya kaki baada ya siku tatu, aidha nikubali kuwa ni mimi nilikuwa naendesha au niende mahakamani kujitete, nilikubali nikapigwa hio ban na faini £200.
Seat belt ni lazima ukipanda gari langu.Hela ya Zebra inauma lakini haifikii hela ya seat belt.......unakuta mtu haeleweki kuwa anavuka au havuki...unapunguza mwendo, ukipita tu jamaa anavuka, unakamatwa..
Seat belt yenyewe unakuta umempa mtu lift.... Dadeki...
Ukishalimwa fine mpewa lift anakwambia "aisee pole sana, asante mimi naishia hapa..."
Ilishawahi nitokea kama hii.Duh leo nimetenda dhambi roho imeniuma sana. Nilikuwa na gari sijaizoe. Taa ya mafuta imewaka range inanionesha nina km20 tu. Nikaamua niweke mafuta ya kunifikisha home tu nikaweka 10,000 nilijua itaongeza range hadi km60 hivi. Baada ya kuweka mshale haukusogea wala range haikubadilika. Nikaenda ninapoenda range inashuka.
Kurudi nikapita njia ile ile range iko 14, nikapita pale kituo cha mafuta nikamwambia Yule dada nimeweka mafuta hapa kwako lakini gauge haikupanda wala kuonesha kuna mafuta yameingia, umeniibia! Dada Yule akasema sijakuibia nimekuwekea hela ulionipa nikamwambia haiwezekani kusiwe na mabadiliko kwenye gauge, ikabidi niende kituo kingine nikaweka 10, aisee gauge ikakurupuka ikapanda sana na range ikaja kwenye 110km. Hapo nikajua ni kweli aliweka mafuta nimemsingizia tu. Nimejisikia vibaya sana.
Traffic wa kike watu poa sana.Sidhani. ...
Tena wa kike ndio laini, sister angu alishamsaundisha traffic wa kike mm nilikuwa sijafunga mkanda na akaeleweka. Traffic aliishia kusema next time asirudie
Mwachie 10 ya pole.Nikipita tena
Duh 30,000 nzima! Kuna mwenzio mwingine humu alitoa 50,000/-. Mimi sometime wananiomba namuachia 5,000/- tuTraffic wa kike watu poa sana.
Niliwahi mpita traffic wa mmama njia ya moro. Akanisimamisha nikasimama mbele sana. Ikabidi nirudi. Akaniongelesha vizuri sana jinsi ilivyo hatari kukimbiza gari. Nikampa 30 ya kumuonea huruma.
Ndo traffic pekee mpaka sasa aliewahi hata kuongea vizuri na mimi.
Inashangaza mzee! Wanawapooza na thirty mara fiftyDuh 30,000 nzima! Kuna mwenzio mwingine humu alitoa 50,000/-. Mimi sometime wananiomba namuachia 5,000/- tu
Yule alikuwa mama mtu mzima kidogo.Duh 30,000 nzima! Kuna mwenzio mwingine humu alitoa 50,000/-. Mimi sometime wananiomba namuachia 5,000/- tu
Kasoro
Kasoro acha usumbuf
Ukisafiri usiku nidhamu ya mwendo inahitajika, ukizoea myendo ya magari ya Ulaya inakuwa tabu kwelikweli.Oh mashimo yameongezeka? Na usiku kuona mbali ni issue. Mara ya mwisho nilisafiri jioni nikapata msala saa 12 ndio ilikuwa pona yangu vinginevyo ningelala barabarani hadi asubuhi. Sisafiri tena usiku.
Duh hapa mshale unalala kulia!Bongi hii hiiView attachment 1678852
Uck mwem mdaaa wa kulal ntajibu keshoKulikoni...!!?