Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

ISO M.CodD

JF-Expert Member
Feb 17, 2013
6,402
2,000
Inawezekana kabisa maana Mbezi to Msamvu ni kama 180kms hivi. Kwahiyo kama ulikuwa unatembea na zaidi ya 100kph kwa muda mrefu inawezekana kufika in less than 2 hours.

Hii nchi sehemu nyingi kinachotuchelewesha kwa asilimia kubwa ni foleni, vibao, tochi na si umbali. Zamani kuna dereva aliwahi toka Dar saa 12 akaingia Mbeya saa 7 na basi la abiria.

Leo hii tunaona haiwezekani tukidhani eti sababu ni umbali. SGR walisema itakuwa inatumia masaa 2 from Dar to Moro na masaa 8 from Dar to Mbeya endapo itakamilika hadi huko.

Kwa sasa tuendelee tu kutilisha mtori nyama zipo danta

Uwe na safari njema mkuu
Ukikaza hata lisaa 1:30 unatoboa maana nimeweza kutumia 1:54 kwa mwendo wa kawaida na bado kun afande alinikamata mlandizi akanipotezea kama dakika 5
 
Offshore Seamen

JF-Expert Member
Mar 9, 2018
3,312
2,000
Nimeaanza kuzielewa sana Porche hasa panamera.. ila sijaona hata moja yenye bei ya kinyonge nilienda mahala nikaiona nikasema eeh hizi ndio gari sasa
Porsche Panamera hata Ulaya bado za Moto, unakumbuka kipindi Pierre Emeric Aubeyang wa Arsenal anapohamia kutoka Dortmund alienda London na hii gari yenye decorations za Vito. Mawakala wake wanapoingia walizubaa wakiitazama gari yake na South Africa hizo ni deal sana hata iwe juu ya mawe raia watakuja na pesa kwenye mfuko wa kushoto wa shati.
 
9.8ms squared

JF-Expert Member
Feb 4, 2021
7,538

Moto wake sio wa kukaribia kama ni hivyo.. acha tufunge mikono nyuma tuwe mashabiki.. kuipenda hiyo ni dhambi kwa sasa 😂😂😂
 
Offshore Seamen

JF-Expert Member
Mar 9, 2018
3,312
2,000
Moto wake sio wa kukaribia kama ni hivyo.. acha tufunge mikono nyuma tuwe mashabiki.. kuipenda hiyo ni dhambi kwa sasa 😂😂😂
Cheki link hii maboss wa Arsenal walivyokuwa wanashangaa Porsche Panamera ya jamaa wakicheki anatoka Africa.

9.8ms squared

JF-Expert Member
Feb 4, 2021
7,538
2,000
Hiyo ya moto sana mzeee.. hata color yake na namna ilivyo.. huo moto sanaaa kuna Panamera used $ 25,000 sema TRA mtauana 😁😁😁hii chuma Kajala akiingia hatoki
487DC38500000578-0-image-a-10_1516702439848.jpg
 
Offshore Seamen

JF-Expert Member
Mar 9, 2018
3,312
2,000
Hiyo ya moto sana mzeee.. hata color yake na namna ilivyo.. huo moto sanaaa kuna Panamera used $ 25,000 sema TRA mtauana 😁😁😁hii chuma Kajala akiingia hatoki View attachment 2081814
Hiyo ya $25,000 sije ikawa ya Singapore.

Huyo Kajala umempa airtime sana kwenye huyo mnyama, Kuna jamaa Yangu ukimpa kazi ya kukuletea Kajala anakuletea na Passo yake andaa Pesa madafu tu.
 
9.8ms squared

JF-Expert Member
Feb 4, 2021
7,538
2,000
Hiyo ya $25,000 sije ikawa ya Singapore.

Huyo Kajala umempa airtime sana kwenye huyo mnyama, Kuna jamaa Yangu ukimpa kazi ya kukuletea Kajala anakuletea na Passo yake andaa Pesa madafu tu.
na kweli nimeona ni ya Singapore shenzi sana hawaa.. sema ile yutong kuipundua pundua inahitaji torque ya maana, maana imezoea kash kash 😂😂😂
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom