Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Karma

JF-Expert Member
May 20, 2019
24,032
2,000
Kudos man!

Hili la afya ya akili ni ishu serious ambayo bado haijatiliwa mkazo stahiki kwenye jeshi letu.

Mental disorders are real kwa wanaotoka mission, wengine wakati wa mafunzo etc.

Bongo hapa utasikia wanasema tu ana "war illness" na utakua declared "unfit" kazi ndo basi tena.

PTSD (Post Traumatic Stress Disorder ), Depression etc zipo sana tu watu huku wanadata na wengine kuwehuka kabisa.

Kuua mtu/adui ni kazi ya kwanza, kazi ya pili ni kuishi na ile "guilt" hapa ndo some serious psychological assistance huitajika.

Depal nimeona comment yako chini

Wapo sana tu, Lugalo hapo wapo. Utasubiriwa ukipona heri, ikishindikana jeshi bye-bye.
"You havent killed as many people as i have and still sleep like a kitten if you feel shit like guilt". Alisikika mwanajeshi mmoja.
 
Omerta

JF-Expert Member
Jan 3, 2016
4,474
2,000
Kudos man!

Hili la afya ya akili ni ishu serious ambayo bado haijatiliwa mkazo stahiki kwenye jeshi letu.

Mental disorders are real kwa wanaotoka mission, wengine wakati wa mafunzo etc.

Bongo hapa utasikia wanasema tu ana "war illness" na utakua declared "unfit" kazi ndo basi tena.

PTSD (Post Traumatic Stress Disorder ), Depression etc zipo sana tu watu huku wanadata na wengine kuwehuka kabisa.

Kuua mtu/adui ni kazi ya kwanza, kazi ya pili ni kuishi na ile "guilt" hapa ndo some serious psychological assistance huitajika.

Depal nimeona comment yako chini

Wapo sana tu, Lugalo hapo wapo. Utasubiriwa ukipona heri, ikishindikana jeshi bye-bye.
Nashukuru sana kaka Kwa kuliona hili.
Depal niliamua tu kuepusha ligi ,lkn tatizo lipo na ni kubwa sana.

Natamani hili lingeonekana lifanyiwe kazi.
 
Depal

JF-Expert Member
Nov 26, 2018
18,878
2,000
@Depal nimeona comment yako chini
emoji3.png

Wapo sana tu, Lugalo hapo wapo. Utasubiriwa ukipona heri, ikishindikana jeshi bye-bye.
Aisee pole zao. Mungu awajaalie... Me nilipita na list niijuayo kucheck kama wana mtindio nimeona wote wazima.

Sema kule mambo ni magumu. Nakumbuka siku sis alipiga simu wamevamiwa mpk sauti ilibadilika. Anaogopa basi baba akambembeleza wee 🤣
 
Don Vito

JF-Expert Member
Jul 15, 2018
899
1,000
Aisee pole zao. Mungu awajaalie... Me nilipita na list niijuayo kucheck kama wana mtindio nimeona wote wazima.

Sema kule mambo ni magumu. Nakumbuka siku sis alipiga simu wamevamiwa mpk sauti ilibadilika. Anaogopa basi baba akambembeleza wee
Anhaa!

unaona sasa kama hiyo iliyomtokea sis wako kuna situation mnakuta mpo under fire yani ile ushasali kabisa unajua hutoki lkn miraculously unatoka hai.

Lazima utabaki na "combat trauma" ambayo itakusumbua tu isipokua addressed. Mara ushindwe kulala, mwili kuishiwa nguvu kila ukikumbuka etc etc
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom