Wazee wa mchiriku kitambo hicho, pitia hapa....

Nanoli

JF-Expert Member
Oct 15, 2015
3,735
5,967
Kuna jamaa walikua wakiitwa Atomic na wengine walikua wakiitwa Wembe...
Hawa jamaa wa Atomic walipiga wimbo mmoja unaitwa "mzee Nanga"... Yeyote mwenye nao huu wimbo pamoja na zingine, za Atomic naomba aniwekee tafadhali....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom