Wazee wa magari mtandaoni hasa hasa BEFOWARD

Kama sahizi kodi sio rafiki tu ila watu wanaendesha DWD huko road je kodi ikiwa million 1 si itakuwa foleni inaanzia getini kwako mpaka posta
Kama gari zikiwa very recent ni sawa.

Wangepunguza kodi kwa magari ya siku za karibuni na kuongeza kwa magari za zamani.

Mfano gari ya 2018 iwe na kodi almost nusu ya gari ya 2009 au 2012.
 
Mambo mengine ni upumbavu yani gari itengenezwe 2010 halafu hadi Leo 2020 miaka 10 toka iwe road iwe na KM 8000???
upumbavu uko wapi hapo?
think about it: nina pikipiki ninayopigia misele mjini, gari inawashwa kwa mwezi mara moja kuitoa mafua, round trip ≈ 70km. kwa mwaka ni 840km. tui-round off iwe 900km. inashindikanaje kwa miaka 10 iwe imetembea 9000km kasoro?

ni upumbavu kukariri.
 
Mara nyingi hizo gari zinakuwa na conditioning ambayo siyo nzuri, utakuta zimekaa muda bila watu kuziulizia. Au ukiongea naye atamwambia sababu za hizo bei.

Pia, utatakiwa kulipa inspection fee, nadhani ni around $200, kuna charge nyingine siikumbiki, sijui insurance inakuwaje siku hizi baada ya sheria kusema tulipie huku Bongo.

Cha ajabu sasa, ukija na hesabu za TRA kwenye kodi, wao wana calculator ambayo si ajabu gari la $500 FOB ukalipa Kodi ya 5m mpaka kulitoa.

Ukichukua $500FOB+$200 inspection + Insurance na freight huwa ni around $1,000 una around $1,800 ambayo ni almost 4m, ukijumlisha na kodi ya 5m tayari ni 9m+.

In any case, huwezi kupata gari ambalo utalipa chini ya 8m mpaka kulitoa. Labda kama una watu TRA au exemption.
Na asisahau siku hizi kuna kitu kipya wamekianzisha pale bandarini..!! Ni kwamba unalazimishwa kuyavua matairi yote na uweke mapya, ambayo yanauzwa na kampuni moja imo humo humo bandarini. Yanayotolewa hupewi..!! Bila hivyo hutoi gari..
 
Mkuu ulichokiandika ni sawa ila ushuru ni balaa gari ya $350 ushuru wake ni 4 to 5 miliono
 
Mara nyingi hizo gari zinakuwa na conditioning ambayo siyo nzuri, utakuta zimekaa muda bila watu kuziulizia. Au ukiongea naye atamwambia sababu za hizo bei.

Pia, utatakiwa kulipa inspection fee, nadhani ni around $200, kuna charge nyingine siikumbiki, sijui insurance inakuwaje siku hizi baada ya sheria kusema tulipie huku Bongo.

Cha ajabu sasa, ukija na hesabu za TRA kwenye kodi, wao wana calculator ambayo si ajabu gari la $500 FOB ukalipa Kodi ya 5m mpaka kulitoa.

Ukichukua $500FOB+$200 inspection + Insurance na freight huwa ni around $1,000 una around $1,800 ambayo ni almost 4m, ukijumlisha na kodi ya 5m tayari ni 9m+.

In any case, huwezi kupata gari ambalo utalipa chini ya 8m mpaka kulitoa. Labda kama una watu TRA au exemption.
Ni simple tu. thamani ya gari za japani kama unalipia bei dola 2000. Basi jiandae Kodi ni Dolla 200 nyingine. Jumla jiandae na dola 4000.
 
Na asisahau siku hizi kuna kitu kipya wamekianzisha pale bandarini..!! Ni kwamba unalazimishwa kuyavua matairi yote na uweke mapya, ambayo yanauzwa na kampuni moja imo humo humo bandarini. Yanayotolewa hupewi..!! Bila hivyo hutoi gari..
Hii imeanza lini? wamayavua baada ya kuyapima hayakidhi viwango au vipi?
 
Lakini SBT Japan wapo genuine kabisa na bei ya IST hadi Dar ya mwaka 2004 na mileage ni 50,000 KM ni usd 1,350 imagine
nilichelewa sana kwenda SBT. ukicheki vizuri utifauti wa bei SBT na Beforward ni kwneye Freight cost. Sbt wanatumia RoRo na Beforward wanatumia container. Diference ni karibu Dolla 500- 1000
 
Na asisahau siku hizi kuna kitu kipya wamekianzisha pale bandarini..!! Ni kwamba unalazimishwa kuyavua matairi yote na uweke mapya, ambayo yanauzwa na kampuni moja imo humo humo bandarini. Yanayotolewa hupewi..!! Bila hivyo hutoi gari..
Ukienda na tairi zako ambazo umenunua mtaani inakuaje
 
Back
Top Bottom