Wazee wa Likes nawaomba humu, Likes zinahitajika nishinde shindano la ujasiriamali

Ni kiklik hapo ktk like inakuja sehemu nyingine nambiwa ni SIGN UP
Je apo nakuwa nimesha like au bado

bado.. hadi ulog in kwanza... fuata maelekezo yao.. use facebook acc yako kama unayo.. hapo fasta tu.. au email
 
Back
Top Bottom