Wazee wa Likes nawaomba humu, Likes zinahitajika nishinde shindano la ujasiriamali

Screenshot_2018-12-03 STREET SKILLS DEVELOPMENT STARTUPPER OF THE YEAR BY TOTAL - [TANZANIA].png



All the best ila isije kuwa hacking trick.
 
kwa Kweli hamna idea mpya Chini ya jua, nimependa idea ya Yule anayetaka kusaidia afya, hospitalini kuwe na damu kwa waliopingukiwa
 
nikilogin kwa email bado wanataka niweke na majina yangu

wanachotaka hasa usirudie kupiga kura kwa like.. ndio maana wanauliza majina... ila huko ni total.. hata ukiweka jina jf hatuwez kujua
 
okay

Kwa hii Kazi yako tafuta mtu mwenye ushawishi mkubwa humu JF mpe hii Kazi ya kukunadi na kukuombea watu wakakupe likes zao kule. Itakuwa Kazi rahisi. Mfano Bold ana kijiji kikubwa sana. Akikisisitiza kikapige kura unatusua mapema sana.
Ngoja nikakupe like yako now mkuu
 
Ni kiklik hapo ktk like inakuja sehemu nyingine nambiwa ni SIGN UP
Je apo nakuwa nimesha like au bado
 
Back
Top Bottom