WAZEE WA KWAMSISI HANDENI WACHOMOA BETRI GARI YA MRADI YAPOTEA NJIANI BAADA YA KULIPWA MILIONI MOJA KATI YA 15 WALIZOTAKA WALIPWE

mnengene

JF-Expert Member
Nov 21, 2011
4,112
6,300
Kuna taarifa za kupotea gari ya maradi wa ujenzi wa barabara ya afrika mashariki inayopita kata ya kwa msisi handeni tanga.
mkandarasi wa barabara iyo alikuwa anapeleka gari kwa ajili ya kazi hiyo sasa gari moja halijafika kwa msisi handeni kutokea bandari ya dsm
Ujenzi huo unandelea baada ya suala la kulipwa fedha za tambiko sh milion 21 kufikiwa muafaka, kwa wazee hao wa tambiko kupatiwa sh milioni 1 na ushee ya tambiko.
Mchina anaulizwa huyo dereva aliyepotea alimpataje akajibu alimpatia bandarini dsm, na hamfahamu vizuri,
wazee wakakoroma kwa nini eti hajachukua dereva kutoka kijijini hapo kwani o wangeweza kumfahamu ni mtoto wa mzee nani aliyepotea.

gari iliyopotea ni kama hiyo hapo chini ilikuwa inatokea bandarini dsm kuelekea kwa msisi handeni

1639514443932.jpeg

mziki wa hawa wazee ni huu hapa chini

Mi nahisi huyo dreva atakuwa kalipiga hilo gari
 
View attachment 2045409

Wajiandae kuirudisha la sivyo watayakimbia makazi yao, kama hawajui Majeshi ya Tz yanavyosurubisha haya
 
Kuna taarifa za kupotea gari ya maradi wa ujenzi wa barabara ya afrika mashariki inayopita kata ya kwa msisi handeni tanga.
mkandarasi wa barabara iyo alikuwa anapeleka gari kwa ajili ya kazi hiyo sasa gari moja halijafika kwa msisi handeni kutokea bandari ya dsm
Ujenzi huo unandelea baada ya suala la kulipwa fedha za tambiko sh milion 21 kufikiwa muafaka, kwa wazee hao wa tambiko kupatiwa sh milioni 1 na ushee ya tambiko.
Mchina anaulizwa huyo dereva aliyepotea alimpataje akajibu alimpatia bandarini dsm, na hamfahamu vizuri,
wazee wakakoroma kwa nini eti hajachukua dereva kutoka kijijini hapo kwani o wangeweza kumfahamu ni mtoto wa mzee nani aliyepotea.

gari iliyopotea ni kama hiyo hapo chini ilikuwa inatokea bandarini dsm kuelekea kwa msisi handeni

View attachment 2045409

mziki wa hawa wazee ni huu hapa chini

Mi nahisi huyo dreva atakuwa kalipiga hilo gari

Mbona kwenye video wanaonekana kama wazee wa chama cha siasa
 
Kuna taarifa za kupotea gari ya maradi wa ujenzi wa barabara ya afrika mashariki inayopita kata ya kwa msisi handeni tanga.
mkandarasi wa barabara iyo alikuwa anapeleka gari kwa
Barabara ya Afrika mashariki inatoka wapi hadi wapi?
 
Barabara hii ndiyo iliyokuwa ikitumika zama zile toka Moro kwenda Tanga kabla ya ile ya Chalinze kujengwa, itajengwa mpaka Kilosa na itaifuta barabara inayopita kwenye mbuga ya Mikumi.
 
Asante sana mkuu kwa kunielewesha
 
Hilo gari itakuwa dereva kajiongeza amna cha kupotea wala nini wachina huwa wanalizwa sana magari na wabongo,afu isitoshe gari bado mbichi lazima mtu ajiongeze.
 
Back
Top Bottom