Wazee wa kudownload latest movie na series

poisson

Senior Member
Jul 17, 2016
130
42
Husika kichwa cha habari kwa wazee wa movie na series.

Luna site ambazo inaitwa fmovies.net nilikuwa naitumia kudownload movie na series naona sasa haifanyi kazi now. Naomba msaada wa site ambazo wadau mnazozijua na ambazo ni kudownload pasipo torrent na kwa kutumia simu

Karibuni
461785146479464d18a18900010b58cc.jpg
 
wakuu me naomba msaada wa kujua ni APP nzuri ya kupakulia movie kupitia pc...ambayo naweza kuidownload kwenye pc...
 
Some times u don't have to download the whole program, kuna moja iko hivi;
Fungua webpage yako, kama no Google au else af type ktk search bar yako " www.savefrom.net" itafunguka hiyo page...iache pembeni, tafuta search bar ingine fungua You tube page, tafuta movie unayoitaka, ikifunguka, itakuwa imeweka link flani ktk search bar, eg; ingineyo, ikopi hiyo link,
Fungua ile page ya "savefrom.net.." ipest ile link ya muvi ktk searchbar ya savefrom.net...
Itaitafuta hiyo movie ktk intanet na kuifungua icon yake, na itakupa option ya kuidownload upande wa kulia.
Uta click download,
Sometimes itakuuliza sehem ya kuisave, ambapo utaitafuta manually, au itai download direct ktk downloads folder ya pc yako.

Jaribu hivo, utainjoi
 
YouTube huwa hawaweki movies mkuu
 
Movies zipo youtube, isipokuwa kuna movie za 720p na 360p. Umakini wa kuangalia kabla ya kushusha unahitajika
Exactly, mara nyingi zinazowekwa ktk mfumo wa Mp4 zinasoma MB chache kuliko zilizo ktk Mp3,
So icheki roughly kama imemaliza yote kabla hujaipakua.
 
ina tegemea una taka muvi gani... series za wapi... korea, china, marekani...
 
i
Exactly, mara nyingi zinazowekwa ktk mfumo wa Mp4 zinasoma MB chache kuliko zilizo ktk Mp3,
So icheki roughly kama imemaliza yote kabla hujaipakua.
move ikiwa ktk mp3 hiyo haiwezi kuwa video itakuwa audio jomba
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom