Wazee wa kubet mnaishije na hii COVID-19?

nusuhela

JF-Expert Member
Jan 26, 2014
5,736
6,972
Kutokana na janga la Covid 19, kuna vitu vingi vimesimamishwa ili kuepusha maambukizi. Mipaka ya baadhi ya nchi imefungwa. Hakuna kuingia wala kutoka.

Kuna biashara zimefungwa mfano ni Samaki Samaki na baadhi ya hoteli. Kwenye michezo, ligi zote zimesimamishwa.

Sasa najiuliza kwa wale vijana tuliokua tunategemea betting kusongesha maisha yetu tuna hali gani hivi sasa? Au tumerudia zama zetu za kamali na pool tables?

Nimeuliza tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Virtual games mzee zipo za kutosha
 
Ni kama tumefukuzwa kazi mzee Nimebet Mala 6 izi electronic matches napigwa saiz sibet ng'ooooo bora iyo hela nikalewe daa corona sio poa kabsaa
 
Tumepata barua ya kusimamishwa kazi kwa muda usio julikana.

Hata hivyo kuuna nchi mechi bado zinapigwa mfano Belarus.
 
Hamna namna ni kubet virtual games tu..Tena huku ukiotea unapiga mpunga wa maana ase.
 
PARIMATCH 3.png
 
Back
Top Bottom