maishapopote JF-Expert Member May 28, 2009 3,272 5,437 Dec 21, 2010 #1 Haya wakuu.....muda ushafika tukutane chini ya mikahawa na migomba na mringaringa......-ria mbeeee......... Attachments kili.jpg 22.1 KB · Views: 299
Haya wakuu.....muda ushafika tukutane chini ya mikahawa na migomba na mringaringa......-ria mbeeee.........
Ehud JF-Expert Member Feb 12, 2008 2,685 337 Dec 21, 2010 #2 maishapopote said: Haya wakuu.....muda ushafika tukutane chini ya mikahawa na migomba na mringaringa......-ria mbeeee......... Click to expand... Ngiro mlimenyi ijumaa kyukonyi..karibunyi sana lunyo warri.....
maishapopote said: Haya wakuu.....muda ushafika tukutane chini ya mikahawa na migomba na mringaringa......-ria mbeeee......... Click to expand... Ngiro mlimenyi ijumaa kyukonyi..karibunyi sana lunyo warri.....
Baba_Enock JF-Expert Member Aug 21, 2008 7,076 2,443 Dec 21, 2010 #3 hmethod said: Ngiro mlimenyi ijumaa kyukonyi..karibunyi sana lunyo warri..... Click to expand... Aikammbe - Shirimatunda? or Speaker Kubwa?
hmethod said: Ngiro mlimenyi ijumaa kyukonyi..karibunyi sana lunyo warri..... Click to expand... Aikammbe - Shirimatunda? or Speaker Kubwa?
Baba_Enock JF-Expert Member Aug 21, 2008 7,076 2,443 Dec 21, 2010 #4 Huyo Mama "near-left" inaelekea ana kiu ya kufa mtu! Halafu naona kama bado "haijaiva"?
Emanuel Makofia JF-Expert Member Jan 5, 2010 3,832 630 Dec 21, 2010 #5 :whoo::whoo::whoo::whoo::whoo::whoo::whoo::whoo::whoo::whoo::whoo: :hungry: :hungry: :hungry: :hungry: :hungry: :hungry: :hungry:
:whoo::whoo::whoo::whoo::whoo::whoo::whoo::whoo::whoo::whoo::whoo: :hungry: :hungry: :hungry: :hungry: :hungry: :hungry: :hungry:
mdoe JF-Expert Member Feb 4, 2009 433 102 Dec 21, 2010 #6 Imenitia hamasa. Ngoja nikakate tiketi ya Meridian kesho asubuhi.
Dr Lizzy Platinum Member May 25, 2009 30,770 59,091 Dec 21, 2010 #7 Dah natamani nipewe mimi hiyo inayomiminwa!
KakaKiiza JF-Expert Member Feb 16, 2010 11,574 8,592 Dec 21, 2010 #8 Huku nyetwork haikamati ya zeinyi
Kunta Kinte JF-Expert Member May 18, 2009 3,686 1,278 Dec 21, 2010 #9 Du! kipindi cha kuhesabiwa ndio kimewadia!