Wazee wa interior design, msaada

Entreprenuare

JF-Expert Member
Aug 24, 2019
1,616
1,714
Wakuu habari!

Nataka ku design bedroom yangu iwe inaonekana kama giza giza, hata kama ni mchana, sipendi mwanga wa jua uingie mpaka ndani.

Kiufupi napenda ile darkness regardless ni mchana au usiku.

Kama hivi

C537EECB-FEA0-49D6-A46B-AF5168EFE507-19052-00000821D95732F1.jpg
 
Subiri wanakuja mkuu. ila nadhani rangi unayopiga ndani pamoja na taa ina matter sana kukuletea matokeo ya aina hiyo
 
Kuna kitu unaficha ukiwa na mapenzi wako asione, unacho mwilini mwako. Dah ila kina watu ni wataalamu wa kuficha aisee nyie acheni tu😁😁😁😁
 
Back
Top Bottom