Wazee wa fursa nini kinaendelea kwenye matikiti?

Alvajumaa

Alvajumaa

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2018
Messages
1,998
Points
2,000
Alvajumaa

Alvajumaa

JF-Expert Member
Joined Jul 5, 2018
1,998 2,000
Wakuu
Juzi kati hapa narudi kutoka kibaruani nikaamua nichukue matunda kidogo,
Nilistaajabu sana bei ya tikiti moja ni Tsh 10,000/-, hivyo kutokana na ukata nikachukua ya elfu 2 tuu ila vilitoka vipande viwili tena vikubwa tuu,
Nipo kwenye daladala nikajiuliza kama tikiti moja ni Tsh 10,000/- sokoni hivyo shambani itakua si chini ya elfu 5 ,
Binafsi nina shamba lakini nalima mazao mengine kabisa si matikiti, je wazee wa fursa hii imekaaje kwenu?
Kwanini matikiti yamepanda sana bei?
 
mtwa mkulu

mtwa mkulu

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2013
Messages
2,813
Points
2,000
mtwa mkulu

mtwa mkulu

JF-Expert Member
Joined Sep 11, 2013
2,813 2,000
Yanaenda vizuri saana huku.... Tunakadiria yatafikia kilo 8 each karibu tutaanza kuuza
 
Kyambambembe

Kyambambembe

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2015
Messages
322
Points
500
Kyambambembe

Kyambambembe

JF-Expert Member
Joined Jan 19, 2015
322 500
Sure juzi kuna sehem nimeuliza bei ya Tikiti nikaambiwa 6000 so inawezekana
 
kipozi

kipozi

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2015
Messages
951
Points
1,000
kipozi

kipozi

JF-Expert Member
Joined Jan 23, 2015
951 1,000
arusha tikiti kwanzia elf 2 unapata ilo la elf 10 sijui lipoje
 
Kimolah

Kimolah

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2011
Messages
360
Points
250
Kimolah

Kimolah

JF-Expert Member
Joined Mar 22, 2011
360 250
Ni ulanguzi unaofanywa na madalali masokoni...hustle na taabu anayoipata mkulima wa tikiti ( hata na mazao mengine perishable) na bei anayolipwa shamba unaweza jikuta unalaani..yataka uvumilivu wa kiwango cha juu kama Hayati Madiba alipokuwa gerezani.
 
Nibiru X

Nibiru X

Senior Member
Joined
Jun 30, 2019
Messages
120
Points
225
Nibiru X

Nibiru X

Senior Member
Joined Jun 30, 2019
120 225
Kilimo cha matikiti hustawi sana wakati wa kiangazi ukanda wa kaskazini Kilimanjaro na tanga huhitaji maji ya kunyesha kwa kisima hustawi zaidi mbegu unanunua gram 100 zinatosha kwa heka inategemea na mbegu nazujua mm zinauzwa 175,000 ni Edeni f1 unatoa tani za kutosha maana kama umekodisha hadi kuvuna unaweza tumia mil 1 hvi
 
P

Paul S.S

Verified Member
Joined
Aug 27, 2009
Messages
6,029
Points
1,500
P

Paul S.S

Verified Member
Joined Aug 27, 2009
6,029 1,500
Tatizo kubwa la bei kwa mkulima ni ile chain kutoka kwa mkulima hadi kwa mlaji wa mwisho

Hapo mkulima atakua kauza bei ya jumla elf 2000 kwa tikiti shambani
 
S

Soulja boy

Member
Joined
Oct 3, 2015
Messages
48
Points
95
S

Soulja boy

Member
Joined Oct 3, 2015
48 95
Kilimo cha matikiti hustawi sana wakati wa kiangazi ukanda wa kaskazini Kilimanjaro na tanga huhitaji maji ya kunyesha kwa kisima hustawi zaidi mbegu unanunua gram 100 zinatosha kwa heka inategemea na mbegu nazujua mm zinauzwa 175,000 ni Edeni f1 unatoa tani za kutosha maana kama umekodisha hadi kuvuna unaweza tumia mil 1 hvi
Eden c mbegu ya nyanya
 
CHIEF MGALULA

CHIEF MGALULA

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2009
Messages
845
Points
500
CHIEF MGALULA

CHIEF MGALULA

JF-Expert Member
Joined Sep 11, 2009
845 500
Ya kwangu nataka kuyakimbia,being ya tikiti ni sh 2000 na wateja hawapatikani
 
Mr Cu

Mr Cu

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2016
Messages
1,314
Points
2,000
Mr Cu

Mr Cu

JF-Expert Member
Joined Jun 3, 2016
1,314 2,000
Kwa sasa tikiti ni adimu ndo maana bei ipo juu kidogo, kufika mwezi wa tisa na wa kumi tikiti itakuwa nyingi mtaani
 

Forum statistics

Threads 1,315,049
Members 505,132
Posts 31,846,430
Top