Boutafrica
JF-Expert Member
- Dec 11, 2014
- 949
- 2,065
Hali tete sana .... kama una la kumshauri Guadiola hebu weka maoni yako hapa huenda kuna mtu akayaona akampelekea ili ayafanyie kazi kesho.
Me naamini city anaweza....tusubirikitu anaweza man city labda kushinda 5-4
City alichobugi ni kukosa away goal pale Anfield. Kesho anaweza kushinda, lakini akatolewa mashindanoni.Yaani kitendo cha kupigwa 3 bila ni kosa kubwa sana. Cha msingi akafunguke acheze mpira haswaaa maana hana sababu ya kujilinda.
Kwenye mpira yote yanawezekana na kuhakikisha hilo PSG analijua hilo
poleni sana aiseeHali tete sana .... kama una la kumshauri Guadiola hebu weka maoni yako hapa huenda kuna mtu akayaona akampelekea ili ayafanyie kazi kesho.
Waache kupaki basi....cha msingi ni kuuchambua mpira...pass za kutosha...na bila kusahau waongeze efficiency ya kufunga magoli. All the best!! Ingawa chance ya kupenya ni ndogo, chance bado mnayo ukichukulia Captain wa majogoo ataikosa hiyo mechi mhimu!
Nimeupenda ushauri wakopoleni sana aisee