Wazee wa Dar wako sahihi.
Kuhusu haki ya wazee wa Afrika Mashariki, aliyewapora haki yao ni Mtakatifu to be Nyerere, au hilo utalipinga.
Kikwete akalimaliza la hawa wazee, wakasema hawajaridhika wameenda mahakamani, kwa hiyo tungoje sheria ichukuwe mkondo. Kati ya hao wazee wa Dar. uliowaona leo wengine walikuwamo katika jumuiya ya Afrika Mashariki.
Wahariri wa HabariLeo, Daily Noise, Uhuru, Mtanzania, Uwazi na JamboLeo wanatafuta headlines za magazeti yao kesho
Sidhani kama ni sahihi kusema "wazee wa kiislamu" kwa kuwa tu wamevaa balaghashia, kwani kofia hizo hupenda kuvaliwa na wazee wengi hasa wa Dar bila kujali dini. Kwa kifupi msinase kwenye mtego wa CCM kugeuza mjadala wowote ambao wao wanaonekana kushindwa kwa sasa kuwa ni "vita takatifu ya kidini" dhidi ya kikwete.
Kimsingi hao ni wazee wa kitanzania ambao wengi wao ni walalahoi lkn kwa kujua au kujokujua wamekubali kutumiwa kuhalalisha upumbavu na ujuha wa CCM. Kwani ni wapi palipoandikwa kuwa haki hudaiwa mahakamani tu? Na je, ni kweli kuwa mahakama zetu sasa ni "wakala wa Mungu mwenye haki" ambaye anatoa hukumu za haki kikamilifu bila upendeleo wa umri, rika, dini, nasaba n.k? Mara ngapi wananchi wanyonge wameporwa haki zao mahakamani huku wakiona mchana kweupe?(rejea hukumu ya mgombea binafsi,kesi za uchaguzi, kesi za kubambikiwa, kesi za vigogo n.k).
Hata kama katiba imeipa mamlaka mahakama kutafsiri sheria na kutoa haki, katiba hiyohiyo imetoa uhuru wa kudai haki kwa migomo, maandamano, mikutano ya hadhara n.k na kuulinda uhuru wa kujumuika, uhuru wa maoni na haki nyingine za msingi za raia hivyo isiwe ni lazima kwenda mahakamani wakati njia nyingine halali kisheria na zinaweza kutumika.
Hao "wazee" walipaswa kwanza kukemea matumizi makubwa ya nguvu zisizo lazima dhidi ya wananchi(ambazo pia zilitumika dhidi ya wazee wenzao wafanyakazi wa EAC) lakini kwabahati mbaya hawawezi kuona mbali zaidi ya matumbo yao!

[SIZE="3"]Kufuatana na taarifa ya Ch 10 usiku hu, wazee wa Dar (ambao wamesema kuwa wanawasemea wazee wenzao nchi nzima -- yaani wameipora hiyo haki bila ya ridhaa yao) kwamba Chadema wangekwenda mahakamani badala ya kufanya maandamano na kutotii amri halali ya polisi.

Wazee hao ambao wengi wao walikuwa wamevaa baraghashia na ambao baadhi yao wamekuwa wakionekana katika magwanda ya CCm katika shughuli za chama hicho wamesema mahakama ndiyo njia sahihi kuliko vurugu.

Hawana hadhi ya kujadiliwa hapa, labda kwenye vikao vya kahawa uko ndio saizi yao. mbwa kabisa hawa, wengi wao hata hicho kilichandikwa humo kwenye hilo tamko hawajuwi ni nini, wamepewa na makamba shilling elfu kumi kila mmoja basi hiyo ndio thamani yao.

Munanifurahisha sana! Wazee wa dar wakinywa kahawa hawana akili pumbavu, wale wanaokesha kwenye mbege wa Moshi na Arusha ndio wenye hekima! What a ridiculous logic!

Munanifurahisha sana! Wazee wa dar wakinywa kahawa hawana akili pumbavu, wale wanaokesha kwenye mbege wa Moshi na Arusha ndio wenye hekima! What a ridiculous logic!
Hao wa mbege huwa hawatoi pumba! Hiyo ndiyo tofauti.

Munanifurahisha sana! Wazee wa dar wakinywa kahawa hawana akili pumbavu, wale wanaokesha kwenye mbege wa Moshi na Arusha ndio wenye hekima! What a ridiculous logic!
huwezi fananisha tabia na hulka zao...kushinda upenuni ukiuza nazi 3 kutwa nzima!!
[SIZE="3"Kufuatana na taarifa ya Ch 10 usiku huu, wazee wa Dar (ambao wamesema kuwa wanawasemea wazee wenzao nchi nzima -- yaani wameipora hiyo haki bila ya ridhaa yao) kwamba Chadema wangekwenda mahakamani badala ya kufanya maandamano na kutotii amri halali ya polisi.
Wazee hao ambao wengi wao walikuwa wamevaa baraghashia na ambao baadhi yao wamekuwa wakionekana katika magwanda ya CCm katika shughuli za chama hicho wamesema mahakama ndiyo njia sahihi kuliko vurugu.
My take: Hivi hawa wazee mbona hawajawahi kuja na kauli za kuwaponda wazee wa Jumuia ya Afrika ya Mashariki kwa kuporwa haki zao ambao wamekuwa wakiandamana mara kadha kwenye mitaa ya Dar na kufanya vurugu?[/SIZE]
pambafff sao hawa wazee.........wanakubali kuuza utu wao kisa shilingi elf 5000,wanazopewa na jinamizi makambawajumbe wa nyumba kumi..mabalozi wa sisiem,,shameless oldies
naam hawa kweli wanasheria na wasomi wa nch hii, wamenifurahisha zaidi kwenye red.Na linganisheni hiyo kauli ya wazee na hili tamko lilitoka kwa wasomi:
FOR IMMEDIATE RELEASE (to be published in its entirety)
9th January, 2011
DAR ES SALAAM
The Tanganyika Law Society (TLS) is the National Bar Association for mainland Tanzania, which was established under The Tanganyika Law Society Act, Chapter (CAP) 307 R.E. of 2002. I. The TLS calls upon civilians and the State and its organs to observe and abide by the laws, the rule of law and good governance; and
2. The TLS strongly condemns the actions taken by the Police Force in denying the constitutional rights of association and assembly and of expression; and
3. The TLS strongly condemns the use of excessive force by the Police Force in dispersing the crowd of unarmed, peaceably processing and assembled civilians; and
4. The TLS calls on the Government of Tanzania to probe into the cause of and to investigate this unfortunate incident, to bring those accountable to task in accordance with the laws, and to continue using peaceful means of upholdingrule of law and securing democracy for the national good.
Submitted by and on behalf of the Tanganyika Law Society
PRESIDENT