Wazee wa Dar wasema Chadema waingepaswa kwenda mahakamani

Hapana, Polisi.....hapo nadhani unapotoka kidogo.

Ukitumia sentiments za udini, unajiondolea sifa ya kuwa-criticize hao wazee kwa vile una-replicate walichokifanya wao!
By the way mimi ni Mkristo, lakini ni Mtanzania zaidi..

Asante m-mbabe. ndo faida ya kuwa na wazee humu jf. wengine bado vijana, hatuna smile
 
[SIZE="3"Kufuatana na taarifa ya Ch 10 usiku huu, wazee wa Dar (ambao wamesema kuwa wanawasemea wazee wenzao nchi nzima -- yaani wameipora hiyo haki bila ya ridhaa yao) kwamba Chadema wangekwenda mahakamani badala ya kufanya maandamano na kutotii amri halali ya polisi.

Wazee hao ambao wengi wao walikuwa wamevaa baraghashia na ambao baadhi yao wamekuwa wakionekana katika magwanda ya CCm katika shughuli za chama hicho wamesema mahakama ndiyo njia sahihi kuliko vurugu.

My take: Hivi hawa wazee mbona hawajawahi kuja na kauli za kuwaponda wazee wa Jumuia ya Afrika ya Mashariki kwa kuporwa haki zao ambao wamekuwa wakiandamana mara kadha kwenye mitaa ya Dar na kufanya vurugu?[/SIZE]

Hawa nao mnawaita wazee? Mzee ni mtu mwenye heshima, busara na asiyerubuniwa na vitu vidogovidogo kama kahawa, sh. elfu tano tano za kununua sijui ugoro? Tusipoteze muda na hii mizee ya ccm iliyokwisha kukosa huruma na wajukuu zao, yenye ni tamaa mbele tu bila kujali wajukuu zao wataishi katika nchi ya namna gani.
 
Kufuatana na taarifa ya Ch 10 usiku huu, wazee wa Dar (ambao wamesema kuwa wanawasemea wazee wenzao nchi nzima -- yaani wameipora hiyo haki bila ya ridhaa yao) kwamba Chadema wangekwenda mahakamani badala ya kufanya maandamano na kutotii amri halali ya polisi.

Wazee hao ambao wengi wao walikuwa wamevaa baraghashia na ambao baadhi yao wamekuwa wakionekana katika magwanda ya CCm katika shughuli za chama hicho wamesema mahakama ndiyo njia sahihi kuliko vurugu.

My take: Hivi hawa wazee mbona hawajawahi kuja na kauli za kuwaponda wazee wa Jumuia ya Afrika ya Mashariki kwa kuporwa haki zao ambao wamekuwa wakiandamana mara kadha kwenye mitaa ya Dar na kufanya vurugu?


Hawa wazee ndiyo wale waliokuwa wanapiga makofi na kushangilia siku ile JK aliposema hataki kura za wafanyakazi nini?

Wasameheni wazee wa zamani hao, wanadhani ya sasa ndiyo kama yale ya mwaka arobaini na saba!




 
Si ndio wale walioshabikia JK kukataa kura za waalimu ? Au wengine jamani? Nani kawaambia tunajali upupu wao. Freaks
 
mizee mingine sijui busara iko wapi ,wana maisha duni kuliko maelezo bt thy r always on the side ya wanyonyaji na wahujumu uchumi ,rejea hotuba ya kikwete dhidi ya wafanyakazi walipotaka kugoma,wapuuz sana nadhani vibahasha wanavyopewa ndio vinawachanganya na njaa zao.sijui wako dunia ipi? kuandamana na kugoma ni moja ya njia ya kudai haki,mahakamani ushungu mtupu hakuna haki kwa kesi za kijamii ,je kesi za kisiasa si ndio ndoto..
 
Wazee wa DAR!! Arusha sio Dar hawa wazee wanatakiwa kunywa chai na kucheza bao na kuongeza wake.
 
My take: Hivi hawa wazee mbona hawajawahi kuja na kauli za kuwaponda wazee wa Jumuia ya Afrika ya Mashariki kwa kuporwa haki zao ambao wamekuwa wakiandamana mara kadha kwenye mitaa ya Dar na kufanya vurugu?[/SIZE]

that is a good one hawana kazi zaidi ya kuongea madudu na porojo za simba na yanga, kungojea hela za rushwa wakati wa uchaguzi na kuiba vitambulisho vya kura :Cry::Cry::Cry::Cry::Cry::Cry::Cry::Cry::Cry::Cry::Cry::Cry: HAWAJUI HATA KAMA KUNA WATANZANIA TENA WA UMRI MDOGO WAMEKUFA
 
vizee vingi vya hapa dar ni lower school. Vinafiki. Ombaomba design ya matonya. Iv kwenye mapinduzi ya ufaransa hakukuwa na mahakama?
 
Hivi hawa wazee ndio wale sikuile JK anahutubia nakutoa mipasho walikua wanashangilia wafanyakazi walivyokua wanapewa vijembe. Kuna mtu anawasikiliza baada ya lile tukio kweli? Kama bado upo nakushauri uamke uliyelala usije ukalala wewe. Kweli mwaka huu tutaona mengi kila mtu ana-fight for 15minutes of fame. Kaazi kweli kweli




[SIZE="3"Kufuatana na taarifa ya Ch 10 usiku huu, wazee wa Dar (ambao wamesema kuwa wanawasemea wazee wenzao nchi nzima -- yaani wameipora hiyo haki bila ya ridhaa yao) kwamba Chadema wangekwenda mahakamani badala ya kufanya maandamano na kutotii amri halali ya polisi.

Wazee hao ambao wengi wao walikuwa wamevaa baraghashia na ambao baadhi yao wamekuwa wakionekana katika magwanda ya CCm katika shughuli za chama hicho wamesema mahakama ndiyo njia sahihi kuliko vurugu.

My take: Hivi hawa wazee mbona hawajawahi kuja na kauli za kuwaponda wazee wa Jumuia ya Afrika ya Mashariki kwa kuporwa haki zao ambao wamekuwa wakiandamana mara kadha kwenye mitaa ya Dar na kufanya vurugu?[/SIZE]
 
Hawa si ndio wale wazee walala hoi ambao siku ya idd wanazagaa kwa mengi, manji, rostam, bakharesa kuomba omba?? Jamani tusiwajadili sana hawa maana njaa ndizo zinawasumbua. Kumbuka DK. wa ukweli aliweka angalizo wakati wa kampeni kuwa "Mtaji mkubwa wa CCM ni umaskini na uelewa mdogo wa wananchi wetu". Makamba akiandaa Press conference halafu akawaita na kuwaahidi chakula cha mchana inatosha kwao kusema chochote, hata kama ni kuwakana watoto wao!!!
 
Kufuatana na taarifa ya Ch 10 usiku hu, wazee wa Dar (ambao wamesema kuwa wanawasemea wazee wenzao nchi nzima -- yaani wameipora hiyo haki bila ya ridhaa yao) kwamba Chadema wangekwenda mahakamani badala ya kufanya maandamano na kutotii amri halali ya polisi.

Wazee hao ambao wengi wao walikuwa wamevaa baraghashia na ambao baadhi yao wamekuwa wakionekana katika magwanda ya CCm katika shughuli za chama hicho wamesema mahakama ndiyo njia sahihi kuliko vurugu.


Hawana hadhi ya kujadiliwa hapa, labda kwenye vikao vya kahawa uko ndio saizi yao.
hapo kwenye red, nimeipenda sana. tusiwajadili hawa ambao kwa hakika wmechakachukiwa mpaka akili na wanasahau watoto na wajukuu zao watakavyopata taabu baadae, shame on them wazee wa ccm wa dsm.
 
hivi kahawa na kashata vimewaishia tuwanunulie? kuliko kusumbua watu na kauli zao zisizo na maana.
halafu mkome kujiita wazee wa dsm au Tanzania, mnaaibisha wazee wetu wenye busara kama akina Baregu, Shivji na wengineo wenye busara zao, nyie ni WAZEE WA CCM MLIOCHAKACHULIWA WA DSM/TZ.
 
Na linganisheni hiyo kauli ya wazee na hili tamko lilitoka kwa wasomi:



FOR IMMEDIATE RELEASE (to be published in its entirety)


9th January, 2011

DAR ES SALAAM

The Tanganyika Law Society (“TLS”) is the National Bar Association for mainland Tanzania, which was established under The Tanganyika Law Society Act, Chapter (CAP) 307 R.E. of 2002. Under the said Act, the TLS has the mandate to, among other things, assist the Government in matters affecting legislation, the administration andpractice of law, as well as to protect and assist the public in all matters touching, ancillary or incidental to the law – in short, the observance of rule of law and good governance.

Following media and individual reports on the clashes in Arusha between the Police Force of the United Republic of Tanzania (“Police Force”) and Chama Cha Demokrasia (Chadema) supporters in Arusha Municipality, the TLS communicated with several sources in Arusha, including its members, members of the media and victims of the violence to confirm the veracity of the reports. Our attempts to communicate with or contact the police officers in charge of Arusha Municipality were not successful.

It was brought to our knowledge that on 5 th January, unarmed Chadema leaders and supporters staged a peaceful procession in Arusha Municipality, pursuant to a notification of the same delivered to the Arusha Municipality Officer Commanding
District (OCD) on 31 st December, 2010 and in furtherance of a 4th of January letter from, and consultative meeting with, the OCD confirming the security detail for the procession and assembly. We know that the Inspector-General of Police (IGP) on national news at 8PM (that is, less than twenty four hours before the intended procession) on 4th January issued a verbal warning stopping the procession but allowing the public assembly. We also know that despite the warning, the procession took place as planned.

We are informed that subsequent to this, the Police Force used force to stop the procession and to disperse the assembly, which resulted in at least two (2) deaths and injuries to several unarmed civilians. We are further informed that during the fracas,
journalists conspicuously identified as such were targeted by the Police Force for simply covering the unfolding events, and that after the fracas the Police Force did not initially allow advocates to gain access to the people who were in police custody.

Article 20 of the Constitution of the United Republic of Tanzania, 1977 (“the Constitution) guarantees every citizen the right to freedom of association and assembly. Section 43 (1) of The Police Force Auxiliary Services Act, CAP 322 R.E. 2009 prescribes a procedure for anyone desirous of convening, collecting, forming or
organizing any assembly or procession in any public place pursuant to their constitutional right to assembly, which only requires notifying the Police Force in then area of the place and time at which the meeting will take place and the purpose of the meeting. It is our understanding that the requirement of notification is prescribed by 2 law to ensure that the Article 20 constitutional right is preserved and protected – and not infringed upon
- by the Police Force. It is our view that the verbal warning issued by the IGP, in effect, banned the procession by Chadema because it did not provide for a clear alternative to when Chadema could hold its procession.
But where there is a right, there is a remedy and Chadema should have sought recourse within the confines of the law. However, we are not certain that the IGP’s verbal warning afforded Chadema with adequate opportunity to pursue any means prescribed in law to either overrule the IGP’s warning or to stop the procession from physically taking place. That notwithstanding, the Police Force should neither be the cause of nor cause violations of constitutionally protected rights.

Article 18 of the Constitution guarantees every person the right to freedom of expression, which includes the right to freely express ideas and opinions as well as the right to communicate and be informed. This right serves to protect expressions, information and communications, including that of media personnel. From the
reports we received, it seems that this right was abridged by the Police Force.

Section 54 of The Criminal Procedure Act, CAP 20 R.E. 2009 obligates a police officer to cause reasonable facilities to be provided to enable a restrained person to communicate with a lawyer, a relative or friend of his choice. From the reports we
received, it seems that this right was – at least initially - infringed upon by the Police Force.


Firmly committed to upholding and strengthening the rule of law and good governance by the State, knowing that when properly upheld, rule of law and good governance protect people from the arbitrary powers of the State; ascribing to the notion that impunity always leads to greater crimes; and believing strongly
that justice must not only be done but must be seen to be done:

I. The TLS calls upon civilians and the State and its organs to observe and abide by the laws, the rule of law and good governance; and


2. The TLS strongly condemns the actions taken by the Police Force in denying the constitutional rights of association and assembly and of expression; and

3. The TLS strongly condemns the use of excessive force by the Police Force in dispersing the crowd of unarmed, peaceably processing and assembled civilians; and


4. The TLS calls on the Government of Tanzania to probe into the cause of and to investigate this unfortunate incident, to bring those accountable to task in accordance with the laws, and to continue using peaceful means of upholdingrule of law and securing democracy for the national good.


Submitted by and on behalf of the Tanganyika Law Society


PRESIDENT
 
Hao wazee ni wenye njaa tu njaa njaa tu zinawasumbua. Nashangaa hawawezi kabisa kuona sababu ya mauaji hayo kuwa ni CCM. Mbona hata mtu kichaa anaweza kuona hilo.
 
Hao ndio wale wazee waliokuwa wanashangilia wakati kikwete akiita wafanyakazi MBAYUWAYU!!?? Pumbavu hao njaa inawasumbua...


Haswaaa hawa ndo wazee waliokua wanapiga vigelegele wakati JK akiwashambulia wafanyakazi nashangaa wanajiita wazee wa Dar. NI WAZEE WA CCM wanaoganga njaa.
 
Kufuatana na taarifa ya Ch 10 usiku huu, wazee wa Dar (ambao wamesema kuwa wanawasemea wazee wenzao nchi nzima -- yaani wameipora hiyo haki bila ya ridhaa yao) kwamba Chadema wangekwenda mahakamani badala ya kufanya maandamano na kutotii amri halali ya polisi.

Wazee hao ambao wengi wao walikuwa wamevaa baraghashia na ambao baadhi yao wamekuwa wakionekana katika magwanda ya CCm katika shughuli za chama hicho wamesema mahakama ndiyo njia sahihi kuliko vurugu.

My take: Hivi hawa wazee mbona hawajawahi kuja na kauli za kuwaponda wazee wa Jumuia ya Afrika ya Mashariki kwa kuporwa haki zao ambao wamekuwa wakiandamana mara kadha kwenye mitaa ya Dar na kufanya vurugu?


Sitegemei kama CHADEMA wanahitaji busara za wazee wa misuli na kofia kutoka bandari salama. CDM wamejipanga na kitaeleweka tu .....
 
Back
Top Bottom