Wazee wa Dar waimba: Tunaimani na Kikwetee... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wazee wa Dar waimba: Tunaimani na Kikwetee...

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MAGEUZI KWELI, Mar 12, 2012.

 1. MAGEUZI KWELI

  MAGEUZI KWELI JF-Expert Member

  #1
  Mar 12, 2012
  Joined: Jul 16, 2011
  Messages: 1,943
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 145
  Wimbo huu ulikuwa ukitumika sana kuwasafisha viongozi na kuwapa vichwa, nimeusikia leo baada ya muda mreeefu sana.
  Hivi kuimbiwa na wale uliowaajiri wakati inatakiwa watanzania woote wakupende kwa uongozi wako uliotukuka na wakupepee kwa majani si ni heshima zaidi?

  JK kaongea vema kuhusu ma DR i am happy at least. Ila muda uliotumika kumaliza huu mgogoro ndiyo ile kauli ya waziri mkuu (TUNASUBIRIA TUONE YATAKAYOTEKEA, SERIKALI IMEJIPANGA KUKABILIANA NA MGOMO)

  Mambo mengine siku mkiona yanafoka moshi zimeni kabla moto haujawaka.

  By the way, i am still opposition
   
 2. Watu

  Watu JF-Expert Member

  #2
  Mar 12, 2012
  Joined: May 12, 2008
  Messages: 3,054
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  Rudi kundini JK is the best ...
   
 3. odinyo

  odinyo JF-Expert Member

  #3
  Mar 12, 2012
  Joined: Feb 6, 2012
  Messages: 428
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  kaongea nn?? ngoja niondoke zangu nikimbilie TV labda Channel 10,TBC,Star TV wataielezea vema summary
   
 4. odinyo

  odinyo JF-Expert Member

  #4
  Mar 12, 2012
  Joined: Feb 6, 2012
  Messages: 428
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  KUMBE mahome hakuna umeme? Okay poa nitasikiliza na sim yangu
   
 5. Faru Kabula

  Faru Kabula JF-Expert Member

  #5
  Mar 12, 2012
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 10,638
  Likes Received: 2,872
  Trophy Points: 280
  Hakukuwa na haja ya kuanzishia thread mpya, ungeiweka kule kwa Pasco
   
 6. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #6
  Mar 12, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Walitakiwa waimbe hivi: HATUNA IMANI NA RAIS Z.E.Z.E.T.A
   
Loading...