Wazee wa Dar es Salaam hongereni kwa kuvaa barakoa

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,779
141,666
Kiukweli nawapongeza sana wazee wa Dar es salaam kwa kuzingatia masharti ya wizara ya afya kwa kuanza rasmi kuvaa barakoa na kutembea na vitakasa mikono.

Mungu wabariki wazee wa Dar es salaam!
 
Walitoka hapo wanaenda kubanana kwenye daladala? Sasa ndio wanakuwa wamefanya nini? Au corona ipo mliman city tu?
Kwa kiwango kikubwa waathirika kwa hapa bongo ni wale wa kwenye ac kwa sis ngoma ngumu tupo fulesh tu hakuna cha taiza,sosho distens,barakoa wala kiziba uso daladala zinajaza km kawa masokon had kkoo watu kibao
 
Kiukweli nawapongeza sana wazee wa Dar es salaam kwa kuzingatia masharti ya wizara ya afya kwa kuanza rasmi kuvaa barakoa na kutembea na vitakasa mikono.

Mungu wabariki wazee wa Dar es salaam!
Nadhani kuanzia leo amri inatoka ni sehemu ya mavazi mwenda zake tunamzika rasmi

Sent from my Nokia 3.2 using JamiiForums mobile app
 
Mataga wanashangaza sana
Kipindi cha pombe, walikuwa wanashangilia, Pombe aliposema hakuna corona na alikuwa havai barakoa. Mataga walishangilia
Pombe ilipomwagika, wanapongeza watu kuvaa barakoa.
Kiukweli nawapongeza sana wazee wa Dar es salaam kwa kuzingatia masharti ya wizara ya afya kwa kuanza rasmi kuvaa barakoa na kutembea na vitakasa mikono.

Mungu wabariki wazee wa Dar es salaam!
 
Mbona kwenye balaza la mawaziri hakuvaa hata mmoja?

Alafu mic ni ile ile kila anaongea anaenda kupumulia hapo!

Yani hii corona ya tz bhana
Hapo wakitoka nje wanazivua wanajichanganya maisha yanaendelea, barakoa bongo ni kama pambo tu unaweza ukavaa wakati ukiwa mbali na msongamano wa tu ila ukiwa karibu na msongamano wa watu unavua au leo unavaa kesho huvai.
 
Vaeni barakoa hii covid sio hata
Huezi kuelewa kama hujapata msiba au mgonjwa wa kutokana na huu ugonjwa
Baba angu mdogo alikufa na ile ya kwanza,alikua home anapiga nyungu huku ugonjwa ukizid kushika kasi
Alianza kulia kama mtoto manake alikua anapata tabu mno kupumua,sijaona ona mwanaume analia ila niliona pale
By the time anapelekwa amana ikawa too late,he died tue next day
Vaeni barakoa at the end of the day ukifa loss ni kwako na familia yako tu
 
Hakuwaambukiza?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom