Emma Lukosi
JF-Expert Member
- Jul 22, 2009
- 929
- 147
Habari wana JF, Poleni Watafuta kazi wenzangu.
Baada ya poyoyo mbili tatu nazizipiga humu mtandaoni pamoja na kitaa lakini maisha
yanazidi kukaba wakuu,Ukweli unabidi usemwe ila hiyo sio case.
Husieni na kichwa habari hapo juu elimu ya kuombea maji ninayo, Passport ninayo
na nauli pia ninayo jamani nataka kutest zali huko ughaibuni hata kuja kuzoa taka.
mwenye kuelewa michakato jamani naomba msaada wenu
Naona Kama Vijana Tumekanyaga waya kuishi hizi inji za ulimwengu wa 3.
Uki ni PM itafaa au ukitiririka hapa hapa nayo njema tu najua hii ndio mida yenu wazee wa box.