Wazee wa arumeru washitakiwe kwa kunuia kuua

mwinukai

JF-Expert Member
May 3, 2011
1,447
630
Sheria za nchi zipo wazi kwa kunuia kuua n kosa la jinai,hivyo wazee wa arumeru wakamatwe na kufunguliwa mashtaka kwa kutaka kumuua LEMA shahidi wa kwanza awe TENDWA.
 
Kwavile wametumwa na wanaikingia kifua ccm litafumbiwa macho na sheria haitakuwa na meno
 
Back
Top Bottom