Wazee mmeamua kutusemea kwa Rais? Na sisi vijana tuna malalamiko yetu juu ya wazee hawa

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Jul 29, 2013
10,507
23,693
Wazee wanalalamika vijana hatuwapishi viti kwenye daladala, wazee wenyewe hawa hawa tunakimbizana nao kufuatilia mademu?

Inaumiza mzee anastaafu halafu kiinua mgongo chake anatumia kuinulia mti nyama ili akakamue binti mkali. Kwani uongo? Hawa wazee wanahonga mabinti siku hizi sisi vijana hatutakiwi kabisa. Wazee wanatumia pesa za penseni kutuchukulia mademu zetu.

Halafu kesho yake wanataka tuwapishe kwenye seat. Mbona wao hawatupishi kwenye harakati za kusaka mademu? Mimi simpishi mzee acha iwe noma tu. Sometime unampisha mzee akija binti mkali mzee naye anampisha anamwambia anakaribia kushuka. Bint anakaa mzee anaanza msemesha kuonesha yeye anajali kuliko sisi vijana ambao hatukumpisha binti.

Mh. Rais wazee walikuwa zamani. Siku hizo wanasema uzee mwisho Chalinze huku town kila mtu babe. Hawa wazee wengi wanatumia kwa mademu zetu pesa za kiinua mgongo. Wakiishiwa ndo wanaanza kutulia home.

Nao pia waache zao mtu anaona gari imejaa anakaza kupanda wakati kwenye foleni ipo nyingine haija jaa. Anaamini vijana watampisha tu. Hii ni kama kutafutiana kutiana ubaya tu.

Muache kikimbizana nasi kufukuzia mademu wadogo ndo nasi tutaanza kuwapisha kwenye seats. Lakini pia mtulie mzee unahangaiaka na safari zisizo na lazima kwenda Mlimani City kuzunga zunguka eti unaosha macho.halafu sis tunahangaika kwenda kwenye kusaka minyato mnataka tuchoke zaidi.
 
Hawa wazee wakikutana na Kiongozi wa nchi hizi ndiyo agenda zao?

Si mchezo.
 
“The young people think the old people are fools – but the old people know the young people are fools.”Agatha Christie Quote:
 
Lini mzee achukue mzee mwenziye kanza siyo afya na haiendani.

Hii tangu zamani mzee anakula kabichi vijana wengi hamna vocal na kama zipo mifuko mitupu unaambiwa fainali uzeeni Acha wazee wakanfamize saa sita.

We wapishe tu ili ikiwezekana mzee apakate kabisa kwenye siti ulompisha

Uzee raha
 
Hiyo ndiyo ajenda kuu wanataka mama aingilie kati
Kumbe sahiv wanapata huduma za afya za huwakika bila kusua sua, mafao yao wanapata bila tatzo? Wanapewa nafasi ya kushiriki kwenye shuhughuri za maendeleo bila kubaguliwa? Vipi huduma za kijamii? Vip wanaodai penshen zao za EAC wamelipwa?

Had wanakuja kuanza kujadiri vya kusimamisha kwenye daladala
 
Hawa ni wazee wa wapi waliotoa hizi hoja, Hoja za vijiweni wanazipeleka kwa Mh. Rais??? nashauri siku nyingine hoja zao zihaririwe kabla ya kuziwasilisha kwa Rais
 
Back
Top Bottom