Wazee na madiwani Kyela kuunda tume kumuona rais juu ya ugonjwa wa Mwakyembe

Hahaha, huyu sam six is a joke I'm telling you, ningekuwa mimi jk nishamtoa uwaziri nampa ukuu wa wilaya Nanjilinji.
 
Kikwete ahadi ya maisha bora kwa kila mtz imemshinda,ataweza kuelezea ya sumu aliyolishwa Mwakyembe
tena imetoka kwa mafisadi marafiki zake?.
 
Hao wazee wapuuzi kweli. Sasa wamuone rais kwani yeye ndio daktari wa Mwakyembe? Si wamfate Mwakyembe mwenyewe? Nakumbuka waliwahi kufunga safari kumuona Mkapa wakimpigia debe Mwandosya miaka ya nyuma so sishangai ndio tabia zao.

It is not true! wewe ni mwongo Mkubwa na unachuki binafsi kwani inauhusiano gani na issue ya mwandosya? unahakika walikwenda kumuona Mkapa? waliotaka ni wazee wa Songea wala siyo kyela!
 
kuna taarifa za kiintelijesia zinadai kuwa ugonjwa wa dr mwakyembe kajitakia mwenyewe kwani alichanganya dawa za arv zikageuka kuwa sumu inayoomtafuna sasa,wala hajalishwa sumu.watu wa intelijesia akina dci manumba wanazo taarifa kamili.mkimchokonoa atazianika hadharani
 
Back
Top Bottom