permanides
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 10,025
- 11,217
Yaani nimekodoa macho wakongwe mnavyojimwaga humu kuhusu hizo herufi ni nn kwani?
Tanzania Intelligence and Security Services.
Yaani nimekodoa macho wakongwe mnavyojimwaga humu kuhusu hizo herufi ni nn kwani?
Hawa usalama naona kazi yao huwa kuwalinda watawala na kuwasaidia kubaki madarakani mbona kwenye masilahi ya nchi huweka ubinafsi wa watu wachache. It's better hichi chombo kiachwe kuendeshwa kijitegeme kwa masilahi ya nchi na sio watawala. Sasa ka kazi yao kuu ni kufatilia upinzani tutafka kweli ndo mana hatuendelei
Tatizo shule mkuu, "vihio" ndio wamejaa.Tatizo ni kuamini nchi isipokuwa na vita basi ni salama tupo katika third world hata kufikiri kwetu ni hivyo hivyo TISS hailindi National Interests Ukawa walikuwa wana cook data CCM walikuwa wanaingiza kura feki mshindi anapatikana then unakuja kutwambia hauna upande seriously
Hii nchi wanasiasa wana nguvu sana kuliko wanajeshi, na watu wa usalama wamebaki na kiapo kisicho kikamilifu wanalinda mipaka na uhuru wa nchi dhidi ya maadui wa nje katiba inavunjwa wapo silent!!!!
hivi hamkona wanajeshi wa Egypt walichokifanya. mtu yeyote yule anayetishia kuligawa taifa kwa namna yeyote mtu yeyote anayetishia amani ya nchi hata awe Rais huyo mtu huwa anakuwa contained ki halali au ki haramu. Taifa linapasuka na nyie mnaona eti inabidi kurudisha imani kwa wananchi "insanity"
Siku zile dege kubwa la uarabuni linachukua wanyama pale KIA hawa vijana wa Kitine na Mwang'onda walikua hawajaanza kazi?Nikiwa ni mmoja wa washiriki kupiga kura, nimebaini kwamba nchi yetu ina majasusi imara kabisa katika ukanda huu wa Afrika.
Kuna mambo ya msingi kabisa kuhusu usalama na mstakabali wa nchi ambayo yanahitaji kuweka itikadi ya vyama pembeni.
Kama mheshimiwa Edward Lowasa "angetoka" katika uchaguzi huu, basi Tanzania ingekuwa katika hali ingine kabisa.
Kama kweli Edward Lowasa ambae hapo mwanzo niliweza kumpinga na baadae kuyumbishwa kidogo na kuhama kwake kwenda Chadema, amesaidiwa kwa hali na mali na baadhi ya watu kutoka nje, kuhakikisha anaingia Ikulu.
Kama kweli UKAWA waliajiri baadhi ya raia wa kigeni kuja Tanzania na kuvuruga matokeo pale kwenye maficho yao kwa kujaribu kurekebisha kuongeza idadi ya kura.
Kuna madai mengi mengi tu yanasemwa kuhusiana na matukio mbalimbali yalotokea nchi ilipokuwa ikielekea kwenye uchaguzi mkuu.
Lakini kazi ya kunusa, kufuatilia, kubaini na hatimae kufanya shambulizi pale ofisi ya ukusanyaji kura, ilikuwa ni kazi maalum na iliopangwa kwa ustadi mkubwa.
Sasa hatua ya kwanza imefanikiwa na ilobakia ni kumalizia kesi.
Ila yote tisa, kumi ni jinsi matunda ya vijana wa wazee Apson Mwango'onda na Hassy Kitine wanavyofanya kazi yao kwa uadilifu mkubwa. Wengi wa maofisa ni matokeo ya kazi ya wazee hawa wawili katika kuuhakikisha tunakuwa na maofisa mahiri kwenye kazi hii ngumu, ingawa mara kwa mara kumekuwepo na vijana wachanga ambao bado hawajamfikia Jason Bourne.
Idaya hii ya usalama au TISS ni idara imara, makini na inazidi kufanya kazi zake ikiwa kwa mwendo wa taratibu lakini makini.
Bila shaka yoyote raisi mteule Dr John Pombe Magufuli atazidi kuimarisha idara hii kwa mtindo mwingine kabisa, nikimaanisha kuwaondoka vijana ambao hawana dhamira ya dhati kufanya kazi hio, wenye kupoteza muda kwenye mabaa na kumbi za starehe na kuchezea magari ya serikali kiasi cha kupoteza fedha za kugharamia mafuta.
Je vipi mchango wako kwa wazee hawa wawili Apson Mwang'onda na Hassy Kitine?
Siku zile dege kubwa la uarabuni linachukua wanyama pale KIA hawa vijana wa Kitine na Mwang'onda walikua hawajaanza kazi?
Vp mkuuDaaaah aiseee
Vp mkuu
Maisha baada ya uchaguzi hao uliowaandika kwa herufi kubwa bila digits wamefanikiwa kipi??huu uchaguzi ulikua kipimo kingine kikubwa cha ubora wa TISS, wamefanikiwa kwa kiasi fulani
Hahahahahah!Safi mkuu nimemkumbuka Marehemu Bibi ,aliwahi kuniambia ukiona jogoo anawika saa saba usiku usiamke mpaka awike saa kumi na moja alfajiri
Well said..Ila hii ajenda yako siyo yenye afya sana ikisemwa mbele ya wananchi tukajua kwa dhahiri mbeleko ya tiss kwa ccm maana itazidi kukijengea chuki hichi chombo! Wakati wote, inabidi itenganishwe CCM na hiyo idara masikioni mwa wananchi! BTW, Bila mchunga kondoo ni upuuzi hata kama hao kondoo wameshiba vipi......ndio maana naamini bado OR kama yeye anastahili kujumuishwa kwenye sifa zako!
Kwa kuongezea, mimi naona mission isn't over yet, maana Watanzania sio wamoja tena baada ya huu uchaguzi hivyo inabidi kuwa unganisha haraka!
Kila mahala wakti wa kampeni, Mh Magufuli hakuwa tatizo, ila ni CCM ndio haitakiwi! Lazima waisafishe CCM kwa kuondoa dead woods, na wananchi waone ikitendeka hivyo ili Imani irudi kwa CCM na serikali pengine na kwa hiyo idara pia!
Magazeti ya chama na serikali na vyombo vingine, viache mipasho na kejeli dhidi ya wapinzani, muda wa kampeni umeisha sasa, kumbe inafaa umsifie hata adui yako maana mlichokuwa mkikigombea umeshakipata tayari, hii ni kwa mustakabari wa Taifa letu sote!
Huyu alikuwa na umri gani wakati anaandika hayaAsante kwa ufafanuzi mzuri. Basi mie nilijua ni kitengo cha polisi, chenye support ya wanajeshi (jwtz), ambacho kinafanya kazi ya kuhakikisha viongozi wa nchi (hasa mkuu wa nchi na mawaziri wake) wanakuwa salama wakati wote. Kwa maana hiyo hata mtu asiyekuwa polisi au mwanajeshi aweza kufanya kazi yaTISS?
Kuna mmoja alikuwa mtu mzito KABSA pale airport enzi ya Jakaya ila Sasa hivi kastaafu tangu 2016 alikuwa anahusika KABSA na dili za unga kasitaafu ana gari zake tano na gorofa lake tegetaMnaisifia idara inayoikumbatia CCM huku mambo kadhaa yameikumba nchi na kutikisa uchumi wetu...
Mitandao miovu ya wauza na waleta unga, wauzaji wa meno ya ndovu imekuwa ikiitesa nchi...
Yaani hayo ni machache kati ya mengi...
Yule aliyemtolea Nape bastola mchana kweupe hadharani alitumwa na Kipilimba au Bashite au Ras wa Tabora? Nahitaji jibu kutoka kwako mtoa mada.Nikiwa ni mmoja wa washiriki kupiga kura, nimebaini kwamba nchi yetu ina majasusi imara kabisa katika ukanda huu wa Afrika.