Joanah
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 20,657
- 71,443
kumbe, basi napo itabidi aniambie napokea mahari ya nani kati yao.
Namsubiri my dia wifi kwa hamu 😆
kumbe, basi napo itabidi aniambie napokea mahari ya nani kati yao.
KAMA HILO DOGO LIMEKUSHINDA ; HESHIMA KWAKO SIFURIHeshima Ni Kupishwa Seat ?
VIJANA WETU AKISHAKALIA SITI HASA BAADA YA MAPAMBANO PALE MLANGONI ANAONA AMEIMALIZA DUNIA.Ni hapa Afrika tu lakini mambelezi kuna seats special za wenye mahitaji maalum, wazee, walemavu na wajawazito tena zimechorwa picha zao. Seats hizi ziko karibu na mlango wa kushukia ili wasipate tabu.
Huwa nikiwaona wazee ninafikiria mchango wao katika taifa kulifanya lilivyo leo na sisi tunaishi kwa amani.
Tofauti ya uungwana na ushenzi ni kamstari tu.
Namsubiri my dia wifi kwa hamu
Hello,
Kuna tabia imeanzishwa inayoshangaza sana.
Kama umefikia umri mkubwa na hujafanikiwa kupata japo ka KIRIKUU, basi SUALA la kupishwa siti kwenye daladala ni HISANI.
Suala La Kuwaona Vijana Eti Hawana Nidhamu, Hawawapishi Seat Halina Mantiki
Kama Mtu Kakupisha Ni Sawa, Ila Asipokupisha BASI. Usione Kama Ni Jambo La Lazima Wewe Kupata Seat.
Kama Unaona Gari Limejaa USIPANDE - SUBIRI LENYE SITI.
Wewe Unaona Gari Limejaa Na Unapanda Hivyo Hivyo - Halafu Unataka Seat ?
Nadhani imeeleweka.
Ningemshauri asubiri yenye nafasi, acha uswahili wa kivule weweAngepanda mzazi wako ungekausha? Heshima ni kwa vitendo sio maneno
Ningemshauri asubiri yenye nafasi, acha uswahili wa kivule weweAngepanda mzazi wako ungekausha? Heshima ni kwa vitendo sio maneno
Eti nimepanda gari naendaVijana mnatakiwa msimame mbele ya Kichwa chenye mmvi eboo
Hello,
Kuna tabia imeanzishwa inayoshangaza sana.
Kama umefikia umri mkubwa na hujafanikiwa kupata japo ka KIRIKUU, basi SUALA la kupishwa siti kwenye daladala ni HISANI.
Suala La Kuwaona Vijana Eti Hawana Nidhamu, Hawawapishi Seat Halina Mantiki
Kama Mtu Kakupisha Ni Sawa, Ila Asipokupisha BASI. Usione Kama Ni Jambo La Lazima Wewe Kupata Seat.
Kama Unaona Gari Limejaa USIPANDE - SUBIRI LENYE SITI.
Wewe Unaona Gari Limejaa Na Unapanda Hivyo Hivyo - Halafu Unataka Seat ?
Nadhani imeeleweka.
Ningemshauri asubiri yenye nafasi, acha uswahili wa kivule wewe
Sure kabisa mimi sijawahi mpisha Mzee yoyote siti kama alishindwa kujijenga enzi za ujana wake basi asisumbue vijana tulio kwenye wakati wetu
Mimi nimehisi wengi humu ni Wanafunzi.Tofauti na hapo Jamii yetu ina tatizo kubwa sana la kimaadili.Wingi wa likes kwa mleta uzi zimefanya niwaze 🤔 kwamba huenda wana Jf wengi hawapendi kupisha wazee.
Hakika Mkuu sababu kikawaida kuna umri ambao ukifika huwa nafsi zinatusuta hasa unapotaka kufanya jambo fulani.Mimi nimehisi wengi humu ni Wanafunzi.
Udigital unawaharibu.Tofauti na hapo Jamii yetu ina tatizo kubwa sana la kimaadili.
Inawekekana eeh ShadeeyaWingi wa likes kwa mleta uzi zimefanya niwaze 🤔 kwamba huenda wana Jf wengi hawapendi kupisha wazee.