Kwa nini gari yangu kuna muda speedomter inasoma speed tofaut na inapoteza nguvu

antipas

JF-Expert Member
Oct 14, 2011
410
416
Wadau vipi

Mimi nina vits ilikuwa na nguvu sana but hivi majuzi imeanza tabia ya ajabu kuna muda kutoka gear namba 2 kwenda tatu inachelewa

Namba 2 kuna muda usiku unakuta uko speed tu inasoma 0 then all of sudden inaenda 40
Na kuna muda inarudi na nguvu kama kawaida
Pia kuna muda ukiweka mafuta kidogo ikiwa silencer
Inazima
Mtaalam anitafute 0652472486
 
Back
Top Bottom