UncleBen
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 9,615
- 12,070
Jana na leo imenyesha mvua kubwa sana usiku iliyo ambatana na ngurumo na radi za kutisha,
Nimeshindwa kupata usingizi kwa ngurumo kama za mabomu au kama ndege za kivita zikifanya mazoezi yao .
Kama una roho ndogo Walahi unaweza kuingia uvunguni ,sema ni vile tu shemeji yenu ananitolea macho hapa najikaza kisabuni.
Halafu utawaskia wenyewe tunataka haki sawa,haki sawa ? Mbona hapa yeye kajikunyata kama ndege mnana
Mvua za mwaka huu inaelekea ni hatari ,tuchukue tahadhari.
Ndugu zangu wa mabondeni halahala ,Mungu awasaidie.