Wazee CCM wakutana Dar, watoa tamko kuhusu Rais Magufuli

mamayoyo1

JF-Expert Member
Jul 25, 2018
1,011
1,019
Baraza la wazee wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Dar es salaam leo julai 20 wametoa tamko la kumpongeza Rais Magufuli kwa jitihada zake za kupambana ili kuleta maendeleo nchini hivyo anapaswa kuendelea kuombewa ili atimize kile wanachokitaka Watanzania
 
Hawa wazee hovyo kabisa wakienda hospital jinsi wanavyotupatisha tabu gharama katika matibabu yao wasingethubutu kusema hivyo
 
Baraza la wazee wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Dar es salaam leo julai 20 wametoa tamko la kumpongeza Rais Magufuli kwa jitihada zake za kupambana ili kuleta maendeleo nchini hivyo anapaswa kuendelea kuombewa ili atimize kile wanachokitaka Watanzania

Huyu mzee anayesoma hotuba ana miaka 10 au 15 tu aende jehanamu na bado badala ya kuutumia muda huu mfupi kumrudia Muumba wake anapiga porojo za unafiki. Kama hakuapata pesa akiwa kijana akiwa na nguvu hizo Miambili za Bashite atanywea kahawa tu.
 
CCM kwa sasa ni vululu vululu kama club ya dengeruwa na wamechanganya na mnazi. Kuchaguwa kuongozwa na "Pombe" ndio madhara take haya!
 
Baraza la wazee wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Dar es salaam leo julai 20 wametoa tamko la kumpongeza Rais Magufuli kwa jitihada zake za kupambana ili kuleta maendeleo nchini hivyo anapaswa kuendelea kuombewa ili atimize kile wanachokitaka Watanzania

Hao wazee hawanatofaut na tff ya yule msomali.
 
Huyu mzee anayesoma hotuba ana miaka 10 au 15 tu aende jehanamu na bado badala ya kuutumia muda huu mfupi kumrudia Muumba wake anapiga porojo za unafiki. Kama hakuapata pesa akiwa kijana akiwa na nguvu hizo Miambili za Bashite atanywea kahawa tu.
Mpinge kwa hoja, sio kumshambulia yeye binafsi kwa muonekano wake ama uzee wake, hata wewe unaelekea hukohuko huende isifike umri alionao yeye.
 
Nyamitako naona Kalianzisha tayari. Kwa kuanzia kawashikisha bahasha hao Wazee wateme hayo wanayoyaongea. Kazi ipo.
 
Baraza la wazee wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Dar es salaam leo julai 20 wametoa tamko la kumpongeza Rais Magufuli kwa jitihada zake za kupambana ili kuleta maendeleo nchini hivyo anapaswa kuendelea kuombewa ili atimize kile wanachokitaka Watanzania

Ivi akina Makamba na Akina kinana wanaona kama hawa wazee? Ama uzee wao unawapeleka vibaya?
 
Back
Top Bottom