Wazee awamu hii hawana nafasi?

manock

Member
Nov 7, 2016
97
37
Habari wakuu,

Kama tujuavyo hakuna kijiji kinachokosa wazee. Je, awamu hii wazee hawana nafasi?
 
Heheeeeee awamu hii ile mikutano ya rais na Wazee wa Daslam hakuna.
Naona imesahaulika ya kwamba palipo na wazee hapaharibiki jambo.
Busara zao zina maana kubwa,haishangazi kuona mambo yanatuendea kombo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom