kunena
JF-Expert Member
- Nov 29, 2016
- 506
- 717
Ni katika kikao cha wadau mbalimbali kufuatia ziara ya RC Mheshimiwa Mrisho Gambo. Walisema kuwa ni uchapakazi wa big 5 ya Arusha. Walifafanua kuwa ni RC Mrisho Gambo , RAS RICHARD Kwitega,DC Fabian Daqqaro ,DAS David Mwakiposa na Mkurugenzi wa jiji Athumani Kihamia. Walisema majembe hayo 5 ni hazina kubwa sana ya mheshimiwa rais Dk John Pombe Magufuli.