Wazazi wenzangu, yule mama jeuri wa Masasi girls amehamishwa.

Mama fedha

Mama tesha balaaa.......Bifu la ndanda na masasi alisababisha yeye....Ndanda ilitoboa....Masasi ilifyata mkia kitaaluma....Nanukuuu..."ndanda boys....Hata mufanyaje hamuwezi kuwapita masasi girls...Labda nihame" ... Kilichotokea...Mama tesha alisomeshwa na morega Simon mongate.
Acha usengerema, mhusika siyo mama tesha
 
Mitoto yenu mimalaya imewashinda huko majumbani mmepata mwalimu anayeisimamia vyema naye mmemgeuza adui. Subirini sasa mitoto yenu hiyo ikianza kukandikwa mimba au kukata roho ikiwa inatoa mimba vichochoroni ndo mtamkumbuka huyu mama. Yaani wazazi wengine ni zero brain hata Bashite ana unafuu!

We mama simama katika haki na sheria na Mungu Atakupigania!
Bila shaka unadhani umalaya wa wanao na mkeo upo kwa wote. Pole.
 
Bila shaka unadhani umalaya wa wanao na mkeo upo kwa wote. Pole.
Sijaoa na sina mtoto!
ae9dd995873e0e38b80ee0a7d298152e.jpg
 
Watoto wa kike ni kazi kuwalea wengi wao ni waongo sana na wanapenda sana mambo ya mapenzi.Hongera headmistress uliyehama kwa kazi nzuri.
Unampa hongera aliyetumbuliwa??!
Huna huruma Mkuu.
 
Hebu nielekeze amehamishwia shule ipi mie nimpeleke mwanangu huko!
Tatizo wazazi wa miaka hii mnaiga mambo ya kizungu! yaani watoto wanakosa nidhamu nyie mnachekelea.
Nielekeze alipo mie nipeleke mwanangu huko
 
Watu wengine huwa wanafanya ukorofi kwa nia njema ila wakati mwingine ukorofi huu huweza kuonea wengine.Niliwahi kuombwa kumuwakilisha mzazi katika shule moja Mwanza kwani kulikuwa na mtoto wa kike alifukuzwa shule kisa alitongozwa na makamu mkuu wa shule akakataa.Makamu huyo akamsingizia kuwa amekwepa kumwagia bustani.Binti alibakiza wiki mbili afanye mtihani wa kidato cha nne.
Kesi ilipoenda kwa Head mistress alikataa kata kata kunisikiliza na hata kumsikiliza yule binti.Alitaka aje mzazi wake halisi ambaye hakuwepo karibu kipindi hicho.Nilimshauri tu amuombe arudi kutoka safari.Baadae kesi iliisha lakini yule binti alijisalimisha kwa makamu mkuu wa shule akafanya alichotaka.Kama headmistress angekuwa na hekma na subira,huenda isingefika huko

Walimu wa kizazi kipya ni mabingwa wa kuwavua sketi watoto wa shule ndio maana four na zero za kutosha.

Hakuna nidhamu.
 
Sasa kilichokuleta kwenye Uzi huu nini? Au unawashwa.
Naishi katika nchi huru na nina uhuru wa kuchangia mawazo yangu popote ali mradi sivunji sheria. Ungeweka angalizo kwenye thread yako hii ya kipuuzi kuwa watu wasio na wake wala watoto tusichangie wala usingeniona hapa. Kosa ni lako na sijui ni kwa nini unatoa povu. May be ni huko kuwashwa kwako. Tafuta wakunaji lakini mimi simo
 
Error in thinking
 
Hebu nielekeze amehamishwia shule ipi mie nimpeleke mwanangu huko!
Tatizo wazazi wa miaka hii mnaiga mambo ya kizungu! yaani watoto wanakosa nidhamu nyie mnachekelea.
Nielekeze alipo mie nipeleke mwanangu huko
Shule ya kata mpakani mwa msumbiji na Tanzania, haya mpeleke mwanao akaliwe na mamba.
 
Back
Top Bottom