Wazazi Wenzangu: Kuna umuhimu (faida) gani kwa baadhi ya watoto kuwa na majina mawili? Jina la shuleni pamoja na lile la nyumbani?

Je, na wewe ulikuwa na jina la nyumbani pamoja na shuleni pindi unasoma? (Sio lazima ulitaje jina lako ila unaweza ukasema tu NDIO au HAPANA)
chadema kwa mara nyingine sera na ilani walichopanga kusema tayari Magufuli ameshafanya na anatarajia kufanya makubwa zaidi.
 
Sisi wengine tuna majina mawili nyumbani, moja kazini na lingine bar wananiita alteza
 
Mimic Nina majina mawili la ubatizo na hili nililopewa na babu ...... nayote nayatumia vizuri,nilikuwa nafurahi hasa pale nilipokuwa Shule secondary wanafunzi wanafunzi wenzangu wakija home wanauliza Jina la ubatizo ambalo natumia Shule mtaani wengi hawalijui basi wanajibiwa hawamjui huyo mtu basi hii Hari Ilikuwa inanifurahisha Kuwa unknown
 
Mkuu mi kwenye kabila langu almost wite tunakuaga na majina mawili mawili,niliikuta hivyo(mfano ukija home ukaniita jina la shuleni,UMENIKOSA
 
Hatari sana
emoji23.png
emoji23.png
...
Mabeberu waje washuhudie maendeleo yanayoletwa na Rais Magufuli.
 
Je, na wewe ulikuwa na jina la nyumbani pamoja na shuleni pindi unasoma? (Sio lazima ulitaje jina lako ila unaweza ukasema tu NDIO au HAPANA)
Lissu itakuwa alipigwa risasi na Wadeni wake au alikua anachukua wake za watu, ndiyo hayo matatizo kajisababishia!!
 
hii kitu imenicost sana kwenye vyeti vyangu
Kuna baadhi ya makabila tumepata pigo sana na huu utaratibu wa majina ya ukoo. Natoa mfano. Ndugu zetu Wachagga wao majina yao hapo hivyo. Kama ni Mushi basi wote huitwa Mushi. Ikiwa jina lako ni John mzazi wako ni Joseph, basi utaitwa John Joseph Mushi. Ndugu zako pia watatumia majina hayo hayo yaani Jina lake, la baba na hilo la ukoo. Kimbembe kinakuja kwenye makabila yetu ambayo hayana utaratibu huo. Kila mtoto hupewa jina lake likifuatia majina ya babu zake wa kiumeni au wa kike. Iwapo wewe unaitwa Joseph Maige Andrea, mwanao anaweza akapewa jina kama John Masinde Joseph lakini nduguye akaitwa Jackson Manyama Joseph. Hao wanao wakienda kuomba Pasi hawapewi kwa vile majina matatu hayafanani na yako na wanatakiwa wakaape upya. Kwa kweli hata mimi nimepata matatizo hayo. Ilifikia hata nikaambiwa nimegushi vyeti vyangu almanusra nitumbuliwe!
 
Hii ni mara ya kwanza kusikia mtu ana majina mawili ya kizungu na yanatumika moja nyumbani na lingine kijamii (shuleni).
Nimezoea kusikia majina ya kikabila ya asili yakitumika nyumbani zaidi, na ya kizungu yakitumika shuleni.
Sijui nia hapo ni nini kwa mfano uliotoa, ila kwa mfano wa pili ndio imezoeleka hivyo.
Kama nikiwa kazini wananiita MEKO ila nikiwa maskani na wana wananiita JIWE
 
Mwanangu nilimpa jina moja tu.
Naona ndugu zangu wanampachika tu jina la baba na mimi sipendi wanangu warithi majina.
Wananikwaza.nawaangalia tu.
Na akikua namwambia jina lako ni moja tu.
Sipendi upuuzi mm
 
Back
Top Bottom