Wazazi Wenzangu: Kuna umuhimu (faida) gani kwa baadhi ya watoto kuwa na majina mawili? Jina la shuleni pamoja na lile la nyumbani?

Tusijifanye wapofu umuhimu upo sana case study ni haya majina yasiyo ya halali ( Fake Names/ID) tunayotumia hapa Jamii Forum
 
Ninaongelea "in real life situation" na sio maisha ya mtandaoni kama haya ya JF.
¹ Faida unayopata muda mwingine inalandana na hiyo ya Maisha ya kawaida.
²utambulisha Mtu kwa Urahisi
³Wazazi huita kuondoa Migogoro ( Wakwe wanataka jina lao/mke, Ndugu/wazazi wako hawataki na wenyewe wanaita la kwao) unaamua kuchukua yote
⁴ Mengine hutumika kutunza heshima Mfano nikaaa Mtoto nikamuita James siwezi kumuita James mbele ya baba yangu ni aibu naweza kumuita kwa Tafsida " Mzee/Baba" Vivyohivyo kwa jina la Mama au Mama mkwe!......nk
 
Jina la nyumbani linakutambulisha kiukoo, mfano uliitwa kikwete Basi ukakutana na binti nae anaitwa kikwete itakusaidia kumdadisi na kuepuka inbreeding
 
Mwanangu nilimpa jina moja tu.
Naona ndugu zangu wanampachika tu jina la baba na mimi sipendi wanangu warithi majina.
Wananikwaza.nawaangalia tu.
Na akikua namwambia jina lako ni moja tu.
Sipendi upuuzi mm
Mzee humpendi nini
 
Mzee humpendi nini
Nampenda sana.
Ila hilo jina kila mtoto analo.
Wa dada ,wada mwingine,wa kaka,wa kama mwingine.yaani ni tafrani.jina moja unakuta watu 7 wanalo nao ni wajukuuu.
Na me sipendi kweli majina ya kurisi wanarithi mpaka tabia.
Ila baba angu nampenda mnoooo.
 
Back
Top Bottom