mtimawachi
JF-Expert Member
- Apr 1, 2020
- 2,017
- 3,037
Hapa ninazungumzia suala la afya za watoto wetu hawa tunaowazaa.
Inataka kuzoeleka sasa kwa watoto kuzaliwa wakiwa tayari wakiwa wameathirika na ukimwi licha njia mbalimbali za kitaalamu kuwepo.Sasa hivi mashuleni utakuta vitoto vidogo vinatumia dozi (ARVs) au ukipita CTC baadhi ya siku za jmos utakuta vitoto vimejazana vikicheza huku vikusubiria vipatiwe dozi na lishe
Mahudhurio ya watoto hawa shuleni ni ya kubahatisha,siku mbili enda shule wiki mbili haendi kisa afya imetetereka, au utakuta analia tu hana furaha,WANATIA HURUMA SANA
OMBI:Wazazi tulinde afya zetu ili watoto watakaozaliwa wawe imara
Kama tumeathirika tayari basi tujitahidi kutumia njia za kitaalamu ili wao wazaliwe salamu
Nyie mnaosambaza ukimwi kwa makusudi mlaaniwe kwa sababu athari zinaenda hadi kwa watoto waso hatia.
KAMA UMEOA UKIMWI HAUNA MWENYEWE,omba Mungu bila kukoma mwenzi wako awe mwaminifu