Wazazi wenzangu hili jambo tulitafakari

mtimawachi

JF-Expert Member
Apr 1, 2020
1,263
2,000
Hapa ninazungumzia suala la afya za watoto wetu hawa tunaowazaa.
Inataka kuzoeleka sasa kwa watoto kuzaliwa wakiwa tayari wakiwa wameathirika na ukimwi licha njia mbalimbali za kitaalamu kuwepo.Sasa hivi mashuleni utakuta vitoto vidogo vinatumia dozi (ARVs) au ukipita CTC baadhi ya siku za jmos utakuta vitoto vimejazana vikicheza huku vikusubiria vipatiwe dozi na lishe

Mahudhurio ya watoto hawa shuleni ni ya kubahatisha,siku mbili enda shule wiki mbili haendi kisa afya imetetereka, au utakuta analia tu hana furaha,WANATIA HURUMA SANA

OMBI:Wazazi tulinde afya zetu ili watoto watakaozaliwa wawe imara

Kama tumeathirika tayari basi tujitahidi kutumia njia za kitaalamu ili wao wazaliwe salamu

Nyie mnaosambaza ukimwi kwa makusudi mlaaniwe kwa sababu athari zinaenda hadi kwa watoto waso hatia.

KAMA UMEOA UKIMWI HAUNA MWENYEWE,omba Mungu bila kukoma mwenzi wako awe mwaminifu
 
Foxhound

JF-Expert Member
Dec 15, 2013
26,778
2,000
Umesomeka;
Uzuri ni kwamba kila mtu anayo haki ya kuishi na ni jukumu la msingi kwa wazazi kuwafanya watoto wetu wawe na afya njema. Nasisitiza yaliyoongelewa hapa tuyape kipaumbele
 
King Kong III

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
43,912
2,000
Hapa ninazungumzia suala la afya za watoto wetu hawa tunaowazaa.
Inataka kuzoeleka sasa kwa watoto kuzaliwa wakiwa tayari wakiwa wameathirika na ukimwi licha njia mbalimbali za kitaalamu kuwepo.Sasa hivi mashuleni utakuta vitoto vidogo vinatumia dozi (ARVs) au ukipita CTC baadhi ya siku za jmos utakuta vitoto vimejazana vikicheza huku vikusubiria vipatiwe dozi na lishe
Mahudhurio ya watoto hawa shuleni ni ya kubahatisha,siku mbili enda shule wiki mbili haendi kisa afya imetetereka, au utakuta analia tu hana furaha,WANATIA HURUMA SANA

OMBI:Wazazi tulinde afya zetu ili watoto watakaozaliwa wawe imara

Kama tumeathirika tayari basi tujitahidi kutumia njia za kitaalamu ili wao wazaliwe salamu

Nyie mnaosambaza ukimwi kwa makusudi mlaaniwe kwa sababu athari zinaenda hadi kwa watoto waso hatia.

KAMA UMEOA UKIMWI HAUNA MWENYEWE,omba Mungu bila kukoma mwenzi wako awe mwaminifu
Aiseee inasikitisha sana mkuu,sijajua inakuwaje ila wajawazito wanapimwa na kama wameathirika wanapewa dawa ili mtoto asipate maambukizi na hata akizaliwa wanaambiwa wamnyonyeshe miezi michache tu kisha wamiachishe ila wengine hawanyonyeshi kabisa.

Ila mafirauni wanaambukiza makusudi sana watu ukimwi.....kweli mtihani kwenye ndoa kama hakuna uaminifu ukimwi nje nje maana kuna mwingine ataonga mahela ili mradi amuambukize mwanamke ukimwi ili aende kumpa mumewe.
 
jaap

JF-Expert Member
Dec 25, 2018
1,770
2,000
Hapa ninazungumzia suala la afya za watoto wetu hawa tunaowazaa.
Inataka kuzoeleka sasa kwa watoto kuzaliwa wakiwa tayari wakiwa wameathirika na ukimwi licha njia mbalimbali za kitaalamu kuwepo.Sasa hivi mashuleni utakuta vitoto vidogo vinatumia dozi (ARVs) au ukipita CTC baadhi ya siku za jmos utakuta vitoto vimejazana vikicheza huku vikusubiria vipatiwe dozi na lishe
Mahudhurio ya watoto hawa shuleni ni ya kubahatisha,siku mbili enda shule wiki mbili haendi kisa afya imetetereka, au utakuta analia tu hana furaha,WANATIA HURUMA SANA

OMBI:Wazazi tulinde afya zetu ili watoto watakaozaliwa wawe imara

Kama tumeathirika tayari basi tujitahidi kutumia njia za kitaalamu ili wao wazaliwe salamu

Nyie mnaosambaza ukimwi kwa makusudi mlaaniwe kwa sababu athari zinaenda hadi kwa watoto waso hatia.

KAMA UMEOA UKIMWI HAUNA MWENYEWE,omba Mungu bila kukoma mwenzi wako awe mwaminifu
Lakin mkuu sikuiz hakuna tena watoto wanao zaliwa nao , maana mama akishaanza clini ana pimwa na Kama ana tatzo ana pewa dawa za kumkinga mtoto akiwa tumbon

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mzabzab

JF-Expert Member
Aug 18, 2011
12,890
2,000
Hapa ninazungumzia suala la afya za watoto wetu hawa tunaowazaa.
Inataka kuzoeleka sasa kwa watoto kuzaliwa wakiwa tayari wakiwa wameathirika na ukimwi licha njia mbalimbali za kitaalamu kuwepo.Sasa hivi mashuleni utakuta vitoto vidogo vinatumia dozi (ARVs) au ukipita CTC baadhi ya siku za jmos utakuta vitoto vimejazana vikicheza huku vikusubiria vipatiwe dozi na lishe
Mahudhurio ya watoto hawa shuleni ni ya kubahatisha,siku mbili enda shule wiki mbili haendi kisa afya imetetereka, au utakuta analia tu hana furaha,WANATIA HURUMA SANA

OMBI:Wazazi tulinde afya zetu ili watoto watakaozaliwa wawe imara

Kama tumeathirika tayari basi tujitahidi kutumia njia za kitaalamu ili wao wazaliwe salamu

Nyie mnaosambaza ukimwi kwa makusudi mlaaniwe kwa sababu athari zinaenda hadi kwa watoto waso hatia.

KAMA UMEOA UKIMWI HAUNA MWENYEWE,omba Mungu bila kukoma mwenzi wako awe mwaminifu
Aise umemalizia na point moja ya ukweli.
 
sabuwanka

JF-Expert Member
Apr 11, 2015
639
1,000
Kuanzia Leo michepuko yote naiblock somo limeniingia... K-vant nimeisha na wine naelekea kuacha nibaki njia kuu
 
periodic table

Senior Member
Apr 2, 2019
127
500
Mkuu umeongea kitu cha maana sana..

Wazazi tuwe responsible kwa hili,tunatesa sana watoto wadogo kwa starehe zetu za muda mfupi,

Tunawabebesha watoto majukumu makubwa ya kunywa dawa kwa ajili ya matamanio yetu..

Tuthamini vizazi vyetu kwani ndio viongozi wetu na walezi wetu wa baadae..
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom