Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 26,574
- 48,722
Huwa nashangaa watoto wa siku hizi wanaishi maisha sio yao hii ni kwasababu wazazi hatuna muda hata wa kuwafundisha watoto nyimbo unakuta katoto kadogo kanaimba singeli hainaga ushemeji tunakulaga.
Wazazi tutenge muda tuwafunze watoto nyimbo through that pia unaweza kugundua kipaji cha mwanao nyimbo nzuri za watoto ni kama zifuatazo.
Hii ni kutoka kwenye list yangu;
Wazazi tutenge muda tuwafunze watoto nyimbo through that pia unaweza kugundua kipaji cha mwanao nyimbo nzuri za watoto ni kama zifuatazo.
Hii ni kutoka kwenye list yangu;