Wazazi wanavyochangia umasikini

Kauli ya mzazi hakosei ni ya kipuuzi sana, inawapa viburi wajione wako sahihi kwa kila kitu wakati wengi tu wazinguaji. Tunapolaumu watoto tusiwasahau wazazi wao maana wana mchango kwa hao watoto kuwa hivyo walivyo.
 
Sisi wanadamu ni waajabu sana

Hapo Evelyn Salt unataka huyu bwana adanganye ili tu atoe maneno ya kinafiki

Huyu bwana katoa proper assessment ya baba yake kwa hali halisi aliyo experience yeye kwa huyu mtu na hawezi danganya

Wewe unataka kumjaza hofu adanganye ili kufurahisha jamii wakati ni uongo na unafiki

Tujifunze kuspeak our minds truthfully bila kudanganya na bila kujali wanaosikiliza watajisikiaje

Na wasikilizaji wajue wanasikiliza true assessment za muongeaji na kukimbilia waambiwe unafiki ili wajisikie vizuri

Muacheni aaongee ukweli bila aibu au kudanganya
Kuna wakati huwa ninakuelewa.
 
hata kama alikuwa mjinga vipi mkuu...UWE NA STAHA NA MZAZI WAKO........kuwa na weledi kidogo tuu.....ishu hapa ni KUHESHIMU....thats all....
 
Wazee wetu wana mitazamo ya hovyo sana, inafikia hatua mtu unakata mawasiliano na mzazi wako kisa anataka akuone kama mtoto mdogo wakati umeshakuwa na familia yako na unajitegemea.......watoto waliozaliwa zama hizi ndo watafaidi maisha, maana wazazi wao wapo kisasa zaidi na wana mitazamo ya kisasa.
 
Mkuu

Haya majitu ni astonishingly evil

Just imagine kuna mtu humu anasema kuzaa na kulea mtoto wake mwenyewe ni msaada anatoa

Eti anaweza acha mtoto wa miaka 5 ajitegemee

Eti yeye kumzaa tu ni privilege tosha

Just imagine how evil these stupid motherfvckers are!

Halafu huyu mtoto wa miaka 5 alieachwa akija kua mtu mzima analaziishwa kwa lazima aseme baba alikua mtu "mzuri"!

Evils + evils!

These lunatics are morally below toilet shit storm kabisa!
Ha ha ha ha haa

Ni privilege
 
hata kama alikuwa mjinga vipi mkuu...UWE NA STAHA NA MZAZI WAKO........kuwa na weledi kidogo tuu.....ishu hapa ni KUHESHIMU....thats all....
Naunga mkono.

Moral civility is more valuable than material civility, hii ni kwa mujibu wa maandiko matakatifu.
 
Mkuu

Hii ni ukoswaji wa akili on their part

Unawaangalia unashindwa kuwaelewa kabisa,especially fathers...

These fathers think they can just bully a grown ass man with a family just like that....

Yaani ni ukoswaji wa adabu and respect to his fellow grown man

I have a son,I respect that boy like a man!And he respects me back like a man too

Mutual respect among two people is everything,but these lunatics never learn!
They will threaten you with words like 'utalaaniwa' 'utatengwa na ukoo' and lot of blah blah......but in real sense they practice sorcery trying to terrorize with evil spells that may affect you psychologically and think that you have to go back to reconcile with their dark powers......just because you live your own life.....
 
Mkuu

Ile generation ya hovyo inaisha

What I know generation ya sasa going forward inaheshimu watoto kama wanadamu na sio kama mifugo

Kizazi cha nyuma ni shida sana..sijui wana tatizo gani with their morality!

Mtu mzima unatesa kitoto kisicho na utetezi wowote sababu tu umekizaa?Unakigeuza kama mfugo with no respect whatsoever!

I will never ever do that to my own kids,kabisa!
Wazazi wa kiume hasa ndo wenye mambo ya kibabe na ukorofi, atataka akupande kichwani no matter wewe tayari upo independent and you have your own family, ndo maana watoto wa kiume mara nyingi huwa hawaelewani na baba zao..........mara nyingi wazee wa namna hii huwa ni wale walioishi irresponsible life hadi anazeeka anakuwa hana investment yoyote and sometimes they re-marry at an old age. Then what they remain with is to blame everyone from morning to evening......
 
Back
Top Bottom