Wazazi wanatakiwa kuandika barua kwa Afisa elimu wilaya ili mtoto ahamishwe?

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,247
2,000
Wadau nimesikia kuwa kupitia Wizara ya Elimu wanataka wazazi wenye watoto waliochaguliwa kwenda kidato cha kwanza katika shule za serikali na wakaenda Private basi wazazi wanatakiwa kuandika baruakwa Afisa elimu wilaya husika kwa kuwataarifu kuwa mwanangu alichaguliwa shule(Mfano shule jamii forum)ila hatajiunga na shule hiyo kwa sababu nimempeleka shule binafsi.
Na hii nikuweza kuisaidia serikali kujua ni nafasi ngapi zipo wazi ili zijazwe na watoto waliofaulu lakini wakakosa shule!Pili nawezaje kujua mtoto kachaguliwa shule fulani alipo maliza Darasa la Saba??Msaada kwa yeyote anayejua tafadhali.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom