Wazazi waliniambia nisiolewe naye lakini sikuwasikiliza, sasa najuta sana

Mimi ni mdada Nina miaka 27 niliolewa nikiwa na miaka 25 huyu mume wangu tulikutana kwa muda mfupi sikumjua sana wazazi walikataa wakaniambia atanisumbua lakin mimi nililazimisha mpaka tukafunga ndoa kanisani niliyoyaona nilikimbia mwenyewe sikuzaa Naye nashukuru wazazi wamenisamehe wamenipokea.

Shida inayonisumbua ni kutojikubali ni mwaka na nusu sasa siwezi kutoka nje wala kwenda sehemu yoyote naona aibu nahisi majirani ndugu wananicheka kuongea na marafiki naogopa nahisi wataniuliza ndoa yangu inaendeleaje.

Najuta sanaa ningewasikiliza wazazi wangu haya yasingenikuta mpaka nimekonda kwa mawazo jamani mliowahi kuachika mliikabili vipi jamii inayowazunguka
Dada usijali, nicheck PM kuna jambo ntakwambia.
 
Hapa tusikimbilie kumlaumu mumwe maana huyu bibie hajaweka sababu za kuachana usijekuta mdada alishoboka kwa msela kupotia show off akajua ndio yatakua maisha yao yakilasiku sabaada ya kuingia kunako ndoa akakutana na maisha og akaona isiwe tabu
 
Mimi ni mdada Nina miaka 27 niliolewa nikiwa na miaka 25 huyu mume wangu tulikutana kwa muda mfupi sikumjua sana wazazi walikataa wakaniambia atanisumbua lakin mimi nililazimisha mpaka tukafunga ndoa kanisani niliyoyaona nilikimbia mwenyewe sikuzaa Naye nashukuru wazazi wamenisamehe wamenipokea.

Shida inayonisumbua ni kutojikubali ni mwaka na nusu sasa siwezi kutoka nje wala kwenda sehemu yoyote naona aibu nahisi majirani ndugu wananicheka kuongea na marafiki naogopa nahisi wataniuliza ndoa yangu inaendeleaje.

Najuta sanaa ningewasikiliza wazazi wangu haya yasingenikuta mpaka nimekonda kwa mawazo jamani mliowahi kuachika mliikabili vipi jamii inayowazunguka

Soma sana kuhusu Uislam kutoka kwa Waislam utapata ufumbuzi.

Kesi kama hizi ndizo hunifanya nizidi kuupenda Uislam.
 
Usijali kuhusu maneno ya watu. Hakuna binadamu ambaye anaweza kuishi maisha yake yote bila kufanya makosa. Shukuru Mungu ndoa imevunjika baada ya muda mfupi.

Endelea na maisha yako bila hofu yoyote ile na wala huna sababu ya kuwa na mawazo ambayo yanasababisha ukose raha na kukonda. Ni maji hayo yameshamwagika huwezi kuyazoa tena. Pole na kila la heri kwenye maisha yako mapya ya kuwa single.

Mimi ni mdada Nina miaka 27 niliolewa nikiwa na miaka 25 huyu mume wangu tulikutana kwa muda mfupi sikumjua sana wazazi walikataa wakaniambia atanisumbua lakin mimi nililazimisha mpaka tukafunga ndoa kanisani niliyoyaona nilikimbia mwenyewe sikuzaa Naye nashukuru wazazi wamenisamehe wamenipokea.

Shida inayonisumbua ni kutojikubali ni mwaka na nusu sasa siwezi kutoka nje wala kwenda sehemu yoyote naona aibu nahisi majirani ndugu wananicheka kuongea na marafiki naogopa nahisi wataniuliza ndoa yangu inaendeleaje.

Najuta sanaa ningewasikiliza wazazi wangu haya yasingenikuta mpaka nimekonda kwa mawazo jamani mliowahi kuachika
mliikabili vipi jamii inayowazunguka
 
umekutana na maswaibu gani..??..mbona usemi....umelalamikaa tuu....
tuambie huyo bwana mapungufu yake...... kabla sijakupa pole..
 
Acha aibu za ajabu . Kwani we ni wa kwanza kuacha au kuachika. ? Embu maisha yaendelee Acha woga
 
Mimi ni mdada Nina miaka 27 niliolewa nikiwa na miaka 25 huyu mume wangu tulikutana kwa muda mfupi sikumjua sana wazazi walikataa wakaniambia atanisumbua lakin mimi nililazimisha mpaka tukafunga ndoa kanisani niliyoyaona nilikimbia mwenyewe sikuzaa Naye nashukuru wazazi wamenisamehe wamenipokea.

Shida inayonisumbua ni kutojikubali ni mwaka na nusu sasa siwezi kutoka nje wala kwenda sehemu yoyote naona aibu nahisi majirani ndugu wananicheka kuongea na marafiki naogopa nahisi wataniuliza ndoa yangu inaendeleaje.

Najuta sanaa ningewasikiliza wazazi wangu haya yasingenikuta mpaka nimekonda kwa mawazo jamani mliowahi kuachika mliikabili vipi jamii inayowazunguka
Kwa mtazamo wa haraka nimeona iko shida ndani yako we mwenyewe. wala usilalamike lalamike.
 
Mimi ni mdada Nina miaka 27 niliolewa nikiwa na miaka 25 huyu mume wangu tulikutana kwa muda mfupi sikumjua sana wazazi walikataa wakaniambia atanisumbua lakin mimi nililazimisha mpaka tukafunga ndoa kanisani niliyoyaona nilikimbia mwenyewe sikuzaa Naye nashukuru wazazi wamenisamehe wamenipokea.

Shida inayonisumbua ni kutojikubali ni mwaka na nusu sasa siwezi kutoka nje wala kwenda sehemu yoyote naona aibu nahisi majirani ndugu wananicheka kuongea na marafiki naogopa nahisi wataniuliza ndoa yangu inaendeleaje.

Najuta sanaa ningewasikiliza wazazi wangu haya yasingenikuta mpaka nimekonda kwa mawazo jamani mliowahi kuachika mliikabili vipi jamii inayowazunguka

MKUU,
WEKA PICHA TAFADHALI,
KISHA NI_PM NAMBA YAKO YA SIMU FASTA.
 
Umeolewa na miaka 25;sasa hivi una miaka 27,umeshavunja ndoa na kurudi kwenu.Tayari umejifungia karibu mwaka mmoja na Nusu!;aisee...
Pole bwana.
Its amazing jinsi ulivyosqueeze muda ndani ya kichupa.
Ushauri wangu kwako;kama uliamua kuachika sidhani kama wanaokuzunguka wana jali kiasi hicho!Kubaliana na hali yako;songa mbele.
 
Ww ndo utawapa headline watu endapo unaogopa kuulzwa ndoa yako inaendeleaje waambie Poa Kbs tena kwa tabasamu ukimaanisha, ss sio uulizwe uanze "yaan ww acha tu yamenshnda"
 
Huyu dada ana stori mbili zinazokinzana lakini ukizifuatilia zinahusiana na hii thread yake ya pili.

So kabla hamjaendelea kumshauri nimeonelea mzisome kisha muanze upya kumshauri, huenda mkapata jibu tofauti.

Shikamoo wakubwa,

Mimi ni binti mkubwa kiasi nimemaliza form six mwaka huu, kuna huyu kaka jamani yeye ana miaka 31,yaani amengangania anioe sasa mimi nashindwa tutaishije, nilishafika kwake hata kitanda hana analala chini, bado anatafuta kazi, ananiambia nikubali tufanye harusi zawadi tutakazopata tutaanzia maisha halafu akipata kazi atanisomesha yeye chuo.

Nishauri mlioolewa na nyie mlianza kulala chini kama mimi.

Story 2:

Habari wanajamii,

Nomba mumshauri dada yangu, aliolewa mapema alipomaliza tu chuo lakini wazazi hawakupenda yeye akalazimisha wakamfanyia tu sherehe ndogo wakafunga ndoa kanisani, wazazi hawakupenda familia walimkataza hakusikia,.

Sasa ameingia kwenye hii familia hii sio familia ya kuishi hata mume wake tu hawezi kwenda kwao wanaamini ushirikana eti wanarogwa huko kwao wanashikana tu uchawi, kuna kipindi dada aliumwa kwao mwanaume wakaja wamfanyie matambiko eti baba yake ameona wabaya wake hawataki aishi na mwanaye, kwetu wakakataa muda wote huo hajawahi kwenda kwao.

Inshort wazazi hawapendi hiyo familia hata wazazi wetu hawaendi kwao yaani hiyo familia inaogopwa kijijini, ila alipoanza anza kuishi na mume wake kuna mambo aliona akaona hapa sio, mpaka leo hajaruhusu mimba iingie huko kijijini wanasema mwanae ndio anawapa kiburi kwa sababu mwanaye ni msomi na mkewe ni msomi yaani kwa ufupi hii familia hakuna mtu anaenda kwao hata wanae wanaamini wanarogwa.

Dada yangu hana amani na hii familia anaona mwisho wake utakuwa mbaya amemchukia mume wake mpaka na ndugu zake wote na malengo yake ni kuondoka kwenye hii familia ndio maana mpaka leo hajazaa, wazazi wanaumia sana na mpaka sasa ni ushirikina tu huko kwao unaendelea.Naomba mumshauri uamuzi anaochukua ni sawa maana hana amani anawaza mpaka amepungua sana kwa mawazo kwao hakuwahi kuona mambo kama haya.

Cc: Asprin, Nyani Ngabu FaizaFoxy Nifah miss chagga Sky Eclat socket Kakole bintishomvi mattargsm data barafuyamoto Kiboko. Inartia Deepro TEAM VIBAJAJI BAK
 
Hicho ndo huwa kinawaponza wanawake wengi wa leo.. hata hua sielewi nini shida hadi uolewe na mtu bila kumchunguza ukaridhika nae..
Sijui ni kuchoka maisha ya home, au kutamani ndoa, au yale maigizo ya mda mfupi mnaigiziwa ndo yanawachanganya hata hamfikirii tena..
We sio wa kwanza nnamfano halisi niliojionea mwenyewe mdada alikutana na jamaa mmoja ile wakajuana mwezi mara mimba, ikafuata ndoa ya kiislam.. hapo ndo alijuuta mumewe alikua malaya wa kutupwa na hakua anajari anamuacha home hata miez 3 yupo nje.. alivumilia mwaka tu akavunja ndoa.. akawa singo maza..
Bora yako hukuzaa nae.. but kama ulifanya mbwembwe sana kwa mashoga zako.. hama mji utakua free badili na namba kabisa.. uanze upya na ujifunze sasa.. usifanye kosa tena
 
Kabla ya kumtoroka mume wako halali tena wa ndoa uliwashirikisha washenga, ndugu, jamaa & hata marafiki zako au ulifakamia kilevi ndipo ukajichukulia uamuzi?
 
Jikubali kuwa wewe tatizo lako litaisha bado unamiaka ya kupata MTU sahihi kwako anatakayekupenda bila kulazimisha rudisha mawasiliano Na marafiki zako Wa zamani tumia ata mitandao ya kijamii itakusaidia kuwa huru Na kuanza kuona kawaida
[HASHTAG]#freemaxencemelo[/HASHTAG]
[HASHTAG]#TunamtakaBenAkiwaHai[/HASHTAG]
[HASHTAG]#JusticeForLema[/HASHTAG]
[HASHTAG]#usirudiekosa2020[/HASHTAG]
 
Back
Top Bottom