Wazazi waandamana Uingereza kupinga masomo kuhusu mahusiano ya jinsia moja

Baadhi ya watu nchini Uingereza wameamua kuandamana nje ya shule kupinga mafunzo ya ushoga shuleni.

Wizara ya Elimu nchini humo imesema kwamba inafanyia kazi ghasia hizo ili mamlaka ziwe na taarifa zaidi na kuweza kuzisaidia shule.

Programu iitwayo ''No Outsiders equality'' inahamasisha watoto kukubali utofauti kuhusu dini, familia na mahusiano.

Programu hiyo ilipitishwa mwezi Machi baada ya waandamanji wenye hasira kali kuandamana nje ya geti la shule ya umma ya Parkfield katika mji wa Birmingham.

Waandamanaji walidai kuwa somo hili linaenda kinyume na dini ya kiislamu na watoto wa shule msingi ni wadogo sana kujifunza kuhusu mahusiano ya jinsia moja.

Parents, children and protestors demonstrate against the lessons about gay relationships, which teaches children about LGBT rights at the Anderton Park Primary School, Birmingham.

Bodi ya walimu ilisema kuwa takriban shule 70 nchini Uingereza walishuhudia wazazi wengi ambao hawakubaliani na elimu hiyo ya mahusiano.

Nyaraka iliyoandaliwa na wizara ya elimu imetoa ushauri kwa mamlaka kuchukua hatua kwa sababu kama wazazi wakiamua kuwatoa watoto wao shuleni kwa kutokubaliana na kile kinachofundishwa wana haki.
Presentational white space

Na kama maandamano yataendelea nje ya shule, basi walimu wakuu wachukue tahadhari na kuomba msaada wa polisi endappo waandamanji watavunja sheria.

Walimu walioona nyaraka hiyo wameiambia BBC kuwa hawajafurahishwa na kitendo cha kutoshirikishwa kuanzia mwanzo kuhusu kuanzishwa kwa somo hilo.

Elimu ya mahusiano itafudishwa kwa wanafunzi wote wa shule ya msingi kuanzia mwezi septemba 2020 ,''mashirika mengi hawakubaliani na uanzishwaji wa masomo hayo, au kwa kiwango ambacho kinatarajiwa kufundishwa.'' Nyaraka hiyo iliyovujishwa ilieleza.

A template letter included in the government advice being circulated for withdrawing children from relationship education classes

mfano wa barua ambao unaweza kutumika kwa wazazi kukataza mtoto wake kufundishwa masomo ya mahusiano
Watu wanaoishi katika mji wa Birmingham ndio wamekuwa wakionyesha pingamizi zaidi dhidi ya masomo hayo kwa kuendelea kuandamana nje ya shule.

Kesi iliyopo Mahakama kuu itatoa uamuzi kuhusu urejesho wa maandamano nje ya shule yaweza kuanza tena.

Wizara ya elimu imewafafanulia watu wanaofanya kampeni kuwa hawawezi kutofautisha kuhusu masomo yanayofundishwa shule na elimu ya mahusiano ambayo wana uamuzi wa kuchagua kukubaliana nayo au kutokubaliana nayo.

Police and parents at a protest outside a school. A placard reads Say no to sexualisation of children

Mamlaka za shule zimeshauriwa kuongea na vyombo vya habari kuhusu maandamano yoyote
Imeshauri kuwa shule zizungumze na wazazi kuhusu programu zao za elimu, lakini pia wafikirie kuhusu maoni ya wazazi.

''Ushauri huu umelenga kuhamasisha wazazi kuongea na shule kuhusu jambo lolote ambalo litakuwa linawatatiza, kuliko kuandamana nje ya shule jambo ambalo litasaidia mamlaka kuangalia njia mbadala",wizara ya elimu imeeleza.

Hata hivyo serikali imeshauriwa kuziunga mkono shule zinazofundisha elimu ya jinsia moja kiundani zaidi.

Presentational white space
Birmingham ni moja ya maeneo yenye Waislam wengi
Hivyo sishangai kuona wao ndio wakiwa mstari wa mbele kupinga
 
Kwanini Dini zingine hazijaungana na Waislam kupinga Mafunzo hayo ya Ushoga?
Dini zengine hufundisha upendo tu hivyo pengine hazipendi fujo fujo muhimu ni amani tu,na waislamu huwa wanasemwa kuwa hawaheshimu tamaduni za watu wengine hutaka kufuatwa tamaduni zao tu hata wakiwa ugenini hivyo pengine dini zengine zimeona kupinga hilo suala ni kutokuheshimu tamaduni za wengine.
 
Kuwa Mkweli watu wanambana kuhakikisha wanaume wana Bali kuwa wanaume,
Ati dini zingine zinafundisha amani, unataka kutuaminisha kuwa Uislaam haufundishi Amani?
Shauri yenu watoto wenu wanamalizika huko,
Maana Makasisi ndo hasa wanawamaliza.
 
Masheck book haram wamewafira vijana 300 wakiwa wanawapa ilim
 
Kuwa Mkweli watu wanambana kuhakikisha wanaume wana Bali kuwa wanaume,
Ati dini zingine zinafundisha amani, unataka kutuaminisha kuwa Uislaam haufundishi Amani?
Shauri yenu watoto wenu wanamalizika huko,
Maana Makasisi ndo hasa wanawamaliza.
Mbona unanishambulia kwani nimeandika kibaya kuhusu imani yako?
 
UISLAM NDIO DINI PEKEE INAYOPINGA KWA DHATI USHOGA
Nakukumbusha tu mkristo maana yake ni mfuasi wa Yesu Kristo wa Nazareth na hupimwa kwa matendo yake..tena kwa level ya Rohoni...mbali na na hapo hao ni fisi waliovaa ngozi ya kondoo..Mtume Paulo kaandika msimamo wa kanisa la Kristo Yesu katika WAGALATIA 5...naam watu watendao matendo ya jinsi hiyo hawataurithi Ufalme wa Mungu.
 
Dini zengine hufundisha upendo tu hivyo pengine hazipendi fujo fujo muhimu ni amani tu,na waislamu huwa wanasemwa kuwa hawaheshimu tamaduni za watu wengine hutaka kufuatwa tamaduni zao tu hata wakiwa ugenini hivyo pengine dini zengine zimeona kupinga hilo suala ni kutokuheshimu tamaduni za wengine.

Ushoga umekuwa tamaduni?
Kumbuka huku wanaita democracy
Na wanafundisha ushoga kuanzia miaka 3 je ungekubali mwanao wa miaka 3 afundishwe kwamba ushoga ni maamuzi yake?
 
Ushoga umekuwa tamaduni?
Kumbuka huku wanaita democracy
Na wanafundisha ushoga kuanzia miaka 3 je ungekubali mwanao wa miaka 3 afundishwe kwamba ushoga ni maamuzi yake?
Mkuu mie nimejaribu tu kujibu swali la kwanini waislamu kama ndio dini pekee iliyojitokeza kupinga hilo suala waziwazi kwa sababu mara nyingi husemwa kuwa waislamu hawaheshimu tamaduni za wenyeji na hutaka tamaduni zao tu ndio kufuatwa.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom