Wazazi wa lulu wafungwe iwe fundisho | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wazazi wa lulu wafungwe iwe fundisho

Discussion in 'Celebrities Forum' started by mmteule, Jun 20, 2012.

 1. m

  mmteule JF-Expert Member

  #1
  Jun 20, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 1,004
  Likes Received: 619
  Trophy Points: 280
  Kama itabainika lulu yuko under 18 baaasi!
  Baada ya kufuatilia masuala ya sheria ya haki za mtoto na wajibu wa wazazi nimeebaini kwamba wazazi wa lulu watakuwa na shitaka la kujibu...mimi kama mtanzania mwenye uchungu na nchi yangu nitatumia fursa hii kuwaadabisha watanzania wachache walioshindwa kutimiza wajibu wao kisheria na kupoteza nguvu kazi ya taifa. Nasubiri ripoti ya mahakama tu.
  Wajiandae kwenda segerea ...hakika naomba watanzania mniunge mkono.........
  Wazazi tunaawaachia watoto wetu hovyo... Wanaombaomba, wanajiuza, wanajirusha na wakubwa club, wanakunywa pombe yaani ni kila aina ya uchafu.... Sasa sample imepatikana.
  Watanzania kaeni mkao wa kula!!!
  Kile kitoto kiko segerea wakati wazazi wanatanua tu...je malezi yao yako wapi? Wizara iko wapi? Nani anawajibu wa kutukumbusha wajibu wetu kama wazazi.... Je nani atuchukulie hatua za kisheria? Mtajua
   
 2. Aleyn

  Aleyn JF-Expert Member

  #2
  Jun 20, 2012
  Joined: Nov 12, 2011
  Messages: 10,228
  Likes Received: 13,678
  Trophy Points: 280
  Mwanao ukimshindwa unamfanyaje,utamuua?
   
 3. m

  mmteule JF-Expert Member

  #3
  Jun 20, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 1,004
  Likes Received: 619
  Trophy Points: 280
  nenda pale wizarani kuna wataalam wa saikolojia watamuweka sawa, apply counselling kuna wataalamu kibao.... Sema kingine. Hao wakishindwa peleka vituo vya tototundu, hata segerea kipo ni bure
   
 4. Bondpost

  Bondpost JF-Expert Member

  #4
  Jun 20, 2012
  Joined: Oct 16, 2011
  Messages: 1,979
  Likes Received: 501
  Trophy Points: 280
  wazo lako ni sawa, hata ushauri zaidi ukihitaji tutakusaidia! Yule mama lakini ni wale wamama wa kihaya wale wanaosifika kwa ishu zao hapa dar!
   
 5. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #5
  Jun 20, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Watakaojibu maswali ni
  -Wazazi
  -Aliyeforge cheti
   
 6. doup

  doup JF-Expert Member

  #6
  Jun 20, 2012
  Joined: Feb 26, 2009
  Messages: 1,172
  Likes Received: 335
  Trophy Points: 180
  100 kwa 100
   
 7. RRONDO

  RRONDO JF-Expert Member

  #7
  Jun 20, 2012
  Joined: Jan 3, 2010
  Messages: 25,796
  Likes Received: 20,750
  Trophy Points: 280
  Great thinker?i dont think so!
   
 8. Wabogojo

  Wabogojo JF-Expert Member

  #8
  Jun 20, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 355
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  kama itakuwa hivo basi hata Mh. wa mzee wa masharubu sijui kama atanusurika.
   
 9. T

  TUMY JF-Expert Member

  #9
  Jun 20, 2012
  Joined: Apr 22, 2009
  Messages: 706
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  asiyefunzwa na mamae hufunzwa na ulimwengu
   
 10. k

  kinubi Senior Member

  #10
  Jun 22, 2012
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 130
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 45
  msaada wa kisheria tafadhali!!!
   
Loading...