Wazazi wa kisasa ni changamoto kubwa sana kwenye malezi

Ndio nyie mnaoongelewa na mtoa mada.

Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
utakuja kupata mtoto siku moja, toka nimekuwa na mtoto,watoto wote nawachukulia tofauti sana,
ni kazi ngumu sana kulea mtoto, hata kama ana tabia nzuri sasa hv, hauwezi kjisifu maana safari bado ni ndefu sana, maana kila hatua ya ukuaji inachangamoto zake.

utakuja kuona siku moja
 
Haya ni makosa tunayoyafanya wazazi,mwisho wa siku mtoto akiendelea na malezi haya,itamghalimu ukubwani,maana akiwa na wenzake atataka afanye anavyotaka,sasa akikumbana na upinzani kwa wengine ataona kama anaonewa ndo maana wahenga walisema; Samaki mkunje angali mbichi, akishanyauka hakunjiki!
Wazazi wengi wa sasa wanapenda kuwa fair kwa watoto wao ilhali maisha yenyewe kwenye uhalisia hayako fair!! Ukilelewa kindezi hayachelewi kukupeleka kwenye utegemezi usio na kikomo
 
Hata taarifa ya habari mkuu tuwe kwenye cartoon tuu!?
Watoto ndiyo wanaangalia cartoon tu muda mwingi, ila familia inakuwa imepanga ratiba Kama ina TV moja muda wa kuwapisha wengine pia waangalie vipindi vyao, ila wageni wanaokwenda kwa watu alafu wanataka kufata ratiba Kama wapo nyumbani kwao hapo hapana hata Mimi nikienda kwa mtu hata remote sigusi atumie vitu vyake na ratiba yake anavyotaka sana sana nitaomba kazi za kusaidia hapo nyumbani.
 
Kweli watu wanatofautiana maoni aiseeh
Hivi ni kweli haya umeongea wewe ama ni nguvu ya balimi?
Wala siyo nguvu ya balimi na wala situmii, nimeongea kwa uzoefu wangu na wageni ndo wenye tatizo wala siyo watoto tena unakuta kijana na nguvu zake anafika ugenini kulilia TV kweli? Sasa hapo mwenye tatizo ni huyo mgeni na wivu wake anataka ashindane na mtoto kuangalia TV, hapo nawatetea watoto na Wala siyo kudeka, wapo wanajipa raha nyumbani kwao na wao wakienda kwa watu watawaacha wafate ratiba zao.
 
Kuna mama mmoja nae anamlea mtoto kama puto. Wamejaliwa uwezo wamejenga ghorofa. Sasa, mtoto yupo juu anacheza kwenye kibaraza cha juu ambapo akidondoka ni kwaheri. Sasa mama anasema.. "we flani, come here you know its dangerous there, you will fall down and you will die"...

Wakati enzi zetu umepanda sehemu hatarishi yani chap kwa haraka ni umeshavamiwa na bi mkubwa ushakula mikiriti ya kutosha yaani.

Ni kweli malezi ya siku hizo yana changamoto sana.

Ila wazazi tukumbuke mtoto umleavyo ndivyo akuavyo.

Na samaki mkunje angali mbichi.

Mwenye sikio asikie..

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Haya ni makosa tunayoyafanya wazazi,mwisho wa siku mtoto akiendelea na malezi haya,itamghalimu ukubwani,maana akiwa na wenzake atataka afanye anavyotaka,sasa akikumbana na upinzani kwa wengine ataona kama anaonewa ndo maana wahenga walisema; Samaki mkunje angali mbichi, akishanyauka hakunjiki!
Samaki mkunje angali mbichi, pia ikiwa kakauka mkunje mpaka anye
 
Nimekuja kibiashara hapa mjini kahama nikaona si mbaya nifikie kwa jamaa yangu ambaye tunatoka sehemu mmoja anaishi na familia yake hapa hatimaye nimefika amenipokea vizuri nashkuru ukweli yuko vizuri hongera zake mambo si haba kapanga apartiment nzima anausafiri istoshe ni mwajiriwa wa kampuni mojawapo hapa mjini
mke kamfungulia biashara ya Min Supermarket kwa hiyo si Mama wa kushinda nyumbani na wamebarikiwa Mtoto mmoja wa kiume.

Sasa hapo ndo kwenye shida hapa nyumbani wana Dada wa kazi wanaishi naye huyu Mtoto sasa nitabu kwakweli siku nimefika tu alikuapo Mama mtoto litoto acha lin'gan'ganie kiti nilicho pewa nikalilie. Eti kiti changu toka toka nakulialia hovyo kiufupi toto limeishi kudekezwa sana yani balaa tupu mpaka kanipa kiti kingine nikalie et yani huyu Mtoto shem hebu njoo ukae hapa.

Nilishwangazwa sana kiukweli nilijiskia hasira sana, humo ndani sasa wawepo wasiwepo ni mwendo wa kuangalia midoli nakatuni kwenye TV ole wako utoe litakavyo bweka na Wazazi wanaenjoy tu asubui mpaka jioni tunaangalia katuni tu kiufupi toto lina lelewa kama yai.

Nimechukizwa sana na hii hali mara nyingine sitamani tena kufikia hapa nilitaka kuwashauli nikajiongeza tu hapa hamna la maana Wazazi wenyewe wamekaa kisasa sana.
wanaishi kama wazungu.

Kwenu wana Jamvi
Kikubwa ni kujua tu limit yako, kwa sababu ndio wameamua bdio mfumo wao wa maisha itoshe. Mimi nimeopt kwenda kwenye miji ya watu hata ndugu zangu ili kupunguza makwazo kama hayo. Naenda kwa nadra sana
 
Ukienda kwa watu ishi kwa sheria zao. Hata kama sivyo unavyotaka wewe, unless na wewe uwe unachangia chochote.
 
Hapo sijaona usasa utakuta mtoto bado mdogo anachezea ndani geti kali kwa usalama na kuangalia katuni ndo vinamuweka ndani na wanajifunza vitu vya utoto wao Kama wakubwa wanavyoangalia mpira, sasa mtu mzima yupo ugenini anataka kushindana na mtoto kuangalia TV kwanini usisaidie wenyeji kazi wewe ulilie kuangalia TV Ili mtoto asiangalie katuni?
Ndo ushangae. Yaani mtu mzima anashindana na mtoto.
Mtu anashindwa kuelewa kwamba akili za mtoto ni za kitoto na siyo za kiutuzima, na hata ukimlazimisha hajibehave zaidi ya umri wake utamletea matatizo ukubwani.
Ndo maana tuna watu wazima, na viongozi ambao ni waoga na hawajiamini kwasababu utotoni walikuwa wanakemewa na kukanywa kila saa.
Mtoa mada ndo mwenye matatizo kwasababu ni mtu mzima na akili zake ni za kitoto.
 
wewe ndo hauko sawa,sijuivumewaza nini!
 
wewe ndo hauko sawa,sijuivumewaza nini!
Amewaza watu wazima kutaka akili zao zilingane na watoto, haki za watoto ziheshimiwe, Mimi nashangaa mtu analazimisha mtoto apigwe Kama mtu mzima anavyopigana na mwenzake sijui kwenzi na mangumi sasa Kama unataka kupigana si utafute mtu mzima mwenzio mpigane? Mtoto anachapwa fimbo matakoni chache tu kama mbili na siyo kupigana naye, alafu kupiga mtoto kichwani hairuhusiwi maana kutamletea mawenge hata makofi pia hivyo piganeni nyinyi wakubwa mkikoseana muone Kama amani itapatikana, watoto walelewe kwa ukaribu na wazazi Ili wajue matatizo yao na hiyo ya kudeka kwanini isiwe kwa watoto wenu? Mpaka mtu aende kwa wenzake kutaka kujifanya yupo kwake na Sheria zake ndo ziendeshe miji ya wengine? Yaani mnataka mtoto wa mtu akalipiwe muda wote mpaka achanganyikiwe ndo hapo mgeni afurahi? Wewe ukienda kwa mtu fata kilichokupeleka na mambo yake na watoto wake muachie mwenyewe.
 
Hata mimi sio muumini wa kuchapa watoto,ninacho maanisha ni kuwa na kiasi na watoto wetu,yaani tuwalee vizuri na mapenzi mema lakini tuwe na taadhali,kwani huyo mgeni anahamia hapo si yupo kwa muda tuu,na mtoto atajifunza lini kutofautisha mabadiliko nyumbani!?Mwana umleavyo ndivyo akuavyo,usipojifunza na wazazi utafunzwa navulimwengu,hapo ndo kilio na kusaga meno ukubwani.
 
Nickelodeon, henry danger,sponge bob,mickey mouse,power rangers,Disney,Sofia,vampirina, sijui nani na ni...khaa!!
Ni asubuhi mpaka usiku katuni.nimezijua bila kupenda

Wakitoka nje wakakimbizane nashukuru
 
Mkuu mimi nipo kwa mjomba wangu hapa Chattle wiki ya tatu hii naangalia Nickelodeon na Cartoon network natamani nipate hata dakika 10 niangalie ITV labda ntakuta Tundu lissu anahutubia lakini JUNIOR kashikilia remote
Pole sana. Ukweli ni changamoto kubwa. Ndio maana mm nikisafiri ng'o silala kwa mtu. Nitaenda kusalimia Basi, lakini maswala ya kuanza kupangiwa muda wa kurudi, kujinyima wine kidogo na huduma zingine, sipendi ujinga huo.
 
Back
Top Bottom