wazazi wa kinyarwanda wanataka mahali ng'ombe 50 sababu binti ni mweupe... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

wazazi wa kinyarwanda wanataka mahali ng'ombe 50 sababu binti ni mweupe...

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Money Stunna, Oct 16, 2012.

 1. Money Stunna

  Money Stunna JF-Expert Member

  #1
  Oct 16, 2012
  Joined: Aug 9, 2011
  Messages: 13,105
  Likes Received: 284
  Trophy Points: 160
  Mimi ni kijana wa miaka 26,nimetokea kupendana na binti mmoja wa kinyarwanda,sasa nikaamua ni vizuri kujitambulisha kwa wazazi wake kwanza harafu nifanye mpango,upande wa kwetu wamjue pia,nikaona nifunge safari adi kwao kigali,kujitambulisha sababu mim sipend nianze kuishi na mtu bila kibali cha wazazi wake na baraka zao,
  jana nikafika kwao salama,jioni ndugu zake na wazazi nikakaa nao kikao,wakaniambia inabidi nitoe mahali ya ng'ombe 50 sababu binti yao ni mweupe,eti angekuwa mweusi ingekuwa ng'ombe 5 tu,na wamekataa kupunguza,nimeongea na binti kumwambia hiyo mahali kubwa sana amesema huo ndio utaratibu wao.
  Uwezo wa kutoa hizo ng'ombe 50 upo ila tatizo mimi sijampendea rangi yake ya weupe bali tabia na vitu vingine.
  mimi nimevutiwa naye na yeye akanipenda.
  hivo sioni ni haki kutoa hao ng'ombe 50,hivi ninavyokwambia baada ya kutoelewana nao sana nimeamua kuondoka bila ata kuaga na nimeamua kuachana na mawazo ya kuoa tena.
  naomba ushauri niachane naye kabisa sababu binti naye anakomaa ndio utaratibu wao na mimi sitak huo utaratibu wao wa kutoa ng'ombe 50,nafikiria bora niwe single tu naomba ushauri wenu wana jf
   
 2. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #2
  Oct 16, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,345
  Likes Received: 1,132
  Trophy Points: 280
  hujawahi kufanya nae mapenzi?
  Kama anakupenda mwambie abebe mimba
   
 3. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #3
  Oct 16, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,385
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Ukimpa mimba unapigwa fine lasivyo humpati mtoto na itakuwa imekula kwako.

  Ushauri kama umempenda na unataka kuishi nae kama mke na mume basi zungumza nao uwe unalipa hiyo mahari kwa installment. Lipa hata ng'ombe 5 kwanza halafu muoane baada ya hapo uwe unalipa installment yao mpaka uimalize hiyo mahari
   
 4. Money Stunna

  Money Stunna JF-Expert Member

  #4
  Oct 16, 2012
  Joined: Aug 9, 2011
  Messages: 13,105
  Likes Received: 284
  Trophy Points: 160
  uyo binti nilimwambia kuhusu ilo la mimba akasema uyo mtoto atokuwa mtoto wangu atakuwa wa kwao nisipotoa hiyo mahali,pia kumchukua uyo mtoto nitapigwa fine
   
 5. zethumb

  zethumb JF-Expert Member

  #5
  Oct 16, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 606
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 45
  Aisee wewe umeliwa! Mtoto wa Kinyaru..aka Mtutsi! Watoto wote hakuna atakae kuwa wako! utakamua weeeee akitaka mimba huyo....naumwa naomba niende HOME...akirudi na mimba ya binamu unaloweka tango lako wiki anakwambia nina mimba unafurahiii! Child akitoka copyright na wa kwaoooo! kaa chonjo....Halafu tabia ya mwanamke anae mpenda mumewe mtarajiwa namtetea huyo eti ndo utaratibu ....mbona kwao wanatoa mbuzi tu anaondoka na kitu cheupeeee kama mjapani vile! Hizo hela zako zitahamia Kigali .................
   
 6. Money Stunna

  Money Stunna JF-Expert Member

  #6
  Oct 16, 2012
  Joined: Aug 9, 2011
  Messages: 13,105
  Likes Received: 284
  Trophy Points: 160
  niliwai kumuuliza kuhusu ilo la kuzaa na ndugu zao,alisema damu yao uwa nzito hivo mtoto uwa anafanana na watu wa upande wao wala awacheat
   
 7. zethumb

  zethumb JF-Expert Member

  #7
  Oct 16, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 606
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 45
  hayo ndo majibu yao...nzito wapi...kaka waulize watu hapo border Kigoma watakupa full story ya hao watu...lengo kuu ni kusambaa wawe wengi kudhibiti wahutu...remember TUTSI MASSACRE was due to their minority.....
   
 8. P

  Punguli Member

  #8
  Oct 16, 2012
  Joined: Oct 19, 2011
  Messages: 76
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  bado haujash2ka mwanaume?
   
 9. m

  mzabzab JF-Expert Member

  #9
  Oct 16, 2012
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 6,981
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280

  AM behind u 100% sasa mambo gani yakufanya mtoto mtaji tena...kwanza tumependana y should it it be like they doing u a favour kwa kumuoa huyo dada.
  loh! kumbe nao wana hizo story....nilikuwa napanga kuoa mnyaruwanda koz they beautiful ila kama ndio hivyo basi bora niende option 2 kwa bwana hugo chavez nikamatie mvenezuela
   
 10. Money Stunna

  Money Stunna JF-Expert Member

  #10
  Oct 16, 2012
  Joined: Aug 9, 2011
  Messages: 13,105
  Likes Received: 284
  Trophy Points: 160
  watu wengi wananiambia hivo,nikaamua kumuuliza akaniambia hivo,lakin nafatilia zaidi
   
 11. Money Stunna

  Money Stunna JF-Expert Member

  #11
  Oct 16, 2012
  Joined: Aug 9, 2011
  Messages: 13,105
  Likes Received: 284
  Trophy Points: 160
  sijashtuka bado
   
 12. Money Stunna

  Money Stunna JF-Expert Member

  #12
  Oct 16, 2012
  Joined: Aug 9, 2011
  Messages: 13,105
  Likes Received: 284
  Trophy Points: 160
  mimi nimekataa mambo za kutoa ng'ombe 50 sababu eti ni mweupe,sikumpendea weupe wake,ningependa weupe ningeoa ulaya,asia etc au tz pia wapo,
   
 13. m

  mzabzab JF-Expert Member

  #13
  Oct 16, 2012
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 6,981
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  nimekupata kaka. baki na msimamo wako huo huo mwana.
  (mie bwana ni mgonjwa wa rangi nyeupe lakini nisingilipa hao cow wote)
   
 14. COURTESY

  COURTESY JF-Expert Member

  #14
  Oct 16, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 2,018
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  waambie wakupunguzie angalau mbuzi 50 badala ya ng'ombe,Ng'ombe 5O huo ni ufisadi na haukubaliki kabisa!!
   
 15. zethumb

  zethumb JF-Expert Member

  #15
  Oct 16, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 606
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 45
  Best of your hard work brah!
   
 16. Money Stunna

  Money Stunna JF-Expert Member

  #16
  Oct 16, 2012
  Joined: Aug 9, 2011
  Messages: 13,105
  Likes Received: 284
  Trophy Points: 160
  wanafanya msichana ni mtaji
   
 17. D

  Domo Zege JF-Expert Member

  #17
  Oct 16, 2012
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 687
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45
  Wahima kwa sasa wanauza ngo'me 1 Tsh 600,000

  600,000*50=30,000,000

  Jiandae kulipa hizo pesa
   
Loading...