Wazazi tuwe makini, tukague mabegi ya vijana wetu waliorudi likizo

Arovera

JF-Expert Member
Nov 19, 2013
10,958
28,438
Mzazi bila kua mnoko hawa watoto watatushinda. Huyu dogo kwanza yuko form one, halafu shule yao ni mwiko mwanafunzi kua na simu.

Aliporudi nikamkeep busy na mazungumzo, baadae nikamuagiza sehemu mbali kidogo. Chapchap nikafungua mlango wa chumba anacholala, kijasusi nikakamata begi nikaanza kupekua, kwanza nimekuta condom 4, inaonekana zilikua 6 hivo 2 ameshatumia, halafu nimekuta simu na anachat na mabinti tu wanaelezana kwamba hua anaruka fensi, saa sita usiku anaenda mtaani kwa hao wanawake, pia nimeona application za kubet nyingi.

Kwahiyo ni vizuri tukawa makini na hawa vijana wetu, nimefunga begi nikatoka kwa kujikausha sasa nataka atulie kama siku tatu nimuwashie moto hadi ajue Baba yake aliwahi kua muhuni zamani.
 
Mzazi bila kua mnoko hawa watoto watatushinda.
Huyu dogo kwanza yuko form one, halafu shule yao ni mwiko mwanafunzi kua na simu.
Aliporudi nikamkeep busy na mazungumzo, baadae nikamuagiza sehemu mbali kidogo.
Chapchap nikafungua mlango wa chumba anacholala, kijasusi nikakamata begi nikaanza kupekua, kwanza nimekuta condom 4, inaonekana zilikua 6 hivo 2 ameshatumia, halafu nimekuta simu na anachat na mabinti tu wanaelezana kwamba hua anaruka fensi, saa sita usiku anaenda mtaani kwa hao wanawake, pia nimeona application za kubet nyingi, kwahiyo ni vizuri tukawa makini na hawa vijana wetu, nimefunga begi nikatoka kwa kujikausha sasa nataka atulie kama siku tatu nimuwashie moto hadi ajue Baba yake aliwahi kua muhuni zamani.
Mkuuu HAWA vijana tunapaswa kuwanyoosha haswas
 
Imagine ungekuta Sms za Wanaume wenzie wanamkula!

Shukuru Mungu:-
1- Kijana anasimamisha
2-Kijana anajua kujilinda
3-Kijana anajua kutafuta hela
4-Kijana sio zoba (Anauwezo wa kuruka fensi)

Kuna watu wana watoto mchelemchele hadi huruma

Untakiwa utembee kifua mbele nina JEMBE
 
Anatakiwa asome kwanza hayo atayakuta mbeleni
 
Mzazi bila kua mnoko hawa watoto watatushinda. Huyu dogo kwanza yuko form one, halafu shule yao ni mwiko mwanafunzi kua na simu.

Aliporudi nikamkeep busy na mazungumzo, baadae nikamuagiza sehemu mbali kidogo. Chapchap nikafungua mlango wa chumba anacholala, kijasusi nikakamata begi nikaanza kupekua, kwanza nimekuta condom 4, inaonekana zilikua 6 hivo 2 ameshatumia, halafu nimekuta simu na anachat na mabinti tu wanaelezana kwamba hua anaruka fensi, saa sita usiku anaenda mtaani kwa hao wanawake, pia nimeona application za kubet nyingi.

Kwahiyo ni vizuri tukawa makini na hawa vijana wetu, nimefunga begi nikatoka kwa kujikausha sasa nataka atulie kama siku tatu nimuwashie moto hadi ajue Baba yake aliwahi kua muhuni zamani.
Kaa naye zungumza naye ataacha
Ukimuwashia moto ndo unamchochea
 
Dunia inakwenda kwa kasi sana , form one tayari ana gemu za kirafiki na mabinti!!, mixer kubeti!!
Any way nikikuwa namuona mwanagu wa darasa la sita kama mtoto sana , naanza maandalizi ya kibabe kumdhibiti kama ntaweza
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom