Mbu
JF-Expert Member
- Jan 11, 2007
- 12,753
- 7,844
...achilia mbali matayarisho ya kiroho, ni mambo gani muhimu ya kuzingatiwa kuhakikisha unamvusha salama binti kwenye temptations za ujanani, ili hata huko mbele ya safari asije ijutia CV yake kwa idadi ya sexual partners, numbers of abortions, magonjwa ya zinaa na heartbreaks nyinginezo? ...nazungumzia binti chini ya miaka 21 (ishirini na moja)...
...michango yenu kina mama na kina baba tafadhalini.