Wazazi muwe makini na birthday wanazokwenda vijana wenu. Birthday party nyingi ni sehemu ya kuhalalisha ushoga kwa Dar

Hivi Mtoto Wa kiume unafanya birthday party ya nini?
SIo wa Kiume tu, Mtu yoyote unafanya Birthday ili iweje???
Mambo ya kuadhimisha mimi binafsi huwa siyakubali, Tukio likishatokea limetokea mambo ya Kuadhimisha sijui miaka mingapi, SIjui Xmas, Pasaka maadhimisho yoyote kwangu huwa sina nayo muda, Sana sana nitayachukua kama advantage maana kunakuwaga na public holiday kwa baadhi ya maadhimisho; Ila personally sio umuhimu wake wala sikubali.

Nilizaliwa, nimeshazaliwa ninachotakiwa ni Kuishi mpaka maisha yangu yafike mwisho baas.
 
Back
Top Bottom